Recent content by VVT-i

  1. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Spear Parts

    Wanajamvi heshima kwenu. Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu njia rahisi na salama yakupata spear parts za magari toka Japan.
  2. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Imported Used bicycles aina zote,New & used Motorbike,Alloys rims n tires used auto parts from Japan

    Mkuu embu fanya hima tupate Rotor za gx 110 na ABS toka japan. Kama unaweza nipe na bei nikuwezeshe kabisa
  3. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Tamko Rasmi la CHADEMA kuhusu Uandikishaji wapiga kura Njombe...

    U.pumbu.avu ule ule kila siku
  4. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Weita embu lete kinana ya baridi nimalizie hii wikend kwa namna yakipekee
  5. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu Mshana, embu nisaidie kitu kimoja. Nini dalili za kuchoka kwa ABS kwenye gx 110?
  6. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Hesabu hizi za CHADEMA sijui kama zitagawanyika au ni hesabu za kutazamia tu?

    Wacha kufananisha huu upumbavu wako na mambo ya kiMungu wewe. Hata aibu huna unaandika 'mungu' badala ya 'Mungu'!!!! Utakua mmojawapo wa wale walio kule mapangoni Tanga wewe
  7. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akiwa nchini Ujerumani, akutana na Kansela Angela Merkel na Bill Gates

    Nenda pale Mwananyamala hospital au Temeke ukaone hali ya wodi za akina mama wajawazito ndoutajua kati ya Prof Lipumba na mbayuwayu(Dr Fastjet) nani anafanya maigizo....mxyuuuuu
  8. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Afikishwa Mahakamani, akimbizwa kliniki ya UN baada ya Afya yake kubadilika

    Pumbavu zako mwenyewe
  9. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Hata Dar haifikii Arusha kwa kila kitu kasoro foleni.
  10. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Benson Bana: Hakuna haja ya elimu kura ya maoni

    Chakushangaza we bado umelala
  11. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri

    Mkuu ulichokisema ni sawa na kwenda pale JNIA kusubiria boti yakwenda Zanzibar
  12. VVT-i

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kijiji cha Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singinda Wamgomea Mwenyekiti aliyechaguliwa

    Taratibu CCM wataelewa wananchi tunataka nini.
Back
Top Bottom