Sifa Kuu ya Nafsi ni kujihesabia haki hata kama imekosea, ni vigumu kukubali makosa, Sio Ajabu ukaona Mtu badala ya kutengeneza Mambo, anazidi kuharibu, kwani tayari Moyo Umeumia. Na watu wanaomsikiliza Wanaambukizwa Roho YA Uchungu na Ukosefu wakifikiri wanakuwa empowerd. Kumbe Cheo na Nafasi...
Mungu ni cheo ambacho kimetokea baada ya Neno kufanya uumbaji Malaika na viumbe wengine kabla uumbaji kufanyika kulikuwa hakuna Mungu kwa sababu cheo Cha Mungu kina demand ibada
MUNGU Nİ MMOJA. ILA HUJIFUNUA KULINGANA NA WAKATI NA UTENDAJI WAKE. TUNAMUOMBA MUNGU KWA JINA LA YESU ABARIKI CHAKULA...
Yohana Ali host Roho ya Eliya bila yeye kuwa na Ufahamu, na hili fumbo mtu pekee aliyeweza kulifumbua alikuwa YESU. Mtu Anaweza kuhost roho ya mtu bila yeye kuwa Na Ufahamu ni kawaida japo wengine hupata NEEMA ya KUJUA.
IRAN TAYARI WANALO BOMU LA NYUKILIA
NETANYAHU SIO MWEHU ANACHOFANYA Nİ KUMPIGA ADUI KABLA HAJAKUMALIZA NA NDICHO ANACHOFANYA ANALENGA MAENEO YOTE YENYE POSSIBILITY YA KUWA NA HUO MZIGO.
Pole inaweza KUWA na vitu vya Aina mbili hii ya kwanza ni mazingira tu ya ukuaji na hii ya pili ni hii ya uwepo wa nguvu tofauti hapa naomba nieleweke sio kila kanisa Lina nguvu halisi ya Mungu pili yamkini kuna roho tofauti Zina Anza kumnyemelea Mtoto mara nyingi huwa ni maroho ya urithi...
Nimeeleewa wazi lako but huoni ukijumuisha WOTE unawakosea na wale wasiofanya matendo hayo let say mtu akaja akasema wahindu WOTE wachafu kwa sababu mmoja wao alifanya tukio chafu haiwezi KUWA Sawa kwenye jamii. Tukemee ubaya tusiwatwike WOTE ubaya isipokuwa WOTE wamebainika na kuthibitika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.