Recent content by Vuitton_7

  1. Vuitton_7

    Link za remote job

    Freelance.com ‎Fiverr.com ‎- Upwork.com
  2. Vuitton_7

    Natafuta Kazi, nina BSc in Metallurgy and Mineral Processing Engineering.

    Yeah, ipo Coet - Udsm na Pia Udom, mi nimepiga Udom pale. Nashukuru pia kwa ushauri huo..!
  3. Vuitton_7

    Natafuta Kazi, nina BSc in Metallurgy and Mineral Processing Engineering.

    ‎Habari Member wa Jf ‎Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini ‎(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering) ‎ ‎Ambapo naweza kufanya kazi kwenye: ‎- Plants za uchenjuaji (kama operator), Viwandani pamoja na kwenye maabara za madini. ‎ ‎Pia nina ujuzi...
  4. Vuitton_7

    Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Hizi ni kemikali zitumikazo kwenye migodi upande wa uchenjuaji wa madini sana sana madini ya dhahabu na wateja wake wengi ni watu wanaojihusisha na madini hayo..!!
  5. Vuitton_7

    MSAADA:

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Samahani, nawezaje kupata matokeo ya kidato cha pili 2012 na matokeo ya darasa la saba 2010..???
  6. Vuitton_7

    MSAADA:

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Samahani, naomba mwenye link za matokeo ya kidato cha pili 2012 na matokeo ya darasa la saba 2010..
  7. Vuitton_7

    Msaada wa namna ya kusoma vitabu online

    Vya sekondari especially vya oxford
  8. Vuitton_7

    Matokeo ya vijana wetu kidato cha nne kuchelewa huchangiwa na nini?

    subiri mpaka mwanzoni wa february ndio yaantoka.
Back
Top Bottom