Kwenye huu Uzi yapo mengi ambayo niliyaruka ili niskuchosbe msomaji..Issue ya Elimu ilgubikwa na changamoto nyingi sana..Nafas ambayo nilkua nayo facilities za kuwezesha elimu sikupata kulinganisha na ndugu yangu..Hali ya kulelewa na Bimaza pekee ilkua inachangamoto nyingi..So nili feli kwa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Kwenye harakati za utafutaji nilijarbu vitu kadhaa wa kadhaa ili kufikia ndoto. Nilkua mcheza Dance nikaacha nikawa mchoraji nikaacha, nikawa mcheza soka huko sikupata nafasi.
Baada ya kumaliza elimu ya kidato cha 4 nikakosa nafasi ya kuendelea na elimu...
Kindly assist..Nafikiria kufungua duka la kuuza vyakula tu hili duka la Mangi..Msaada kujua mtaji kias gan napashwa kuanza nao..Na Vipi vya kuzingatia kusimamisha biashara?
Acha nae huyo kaka..Atakusababishia maafa makubwa sana..Chukua hatua za kumtema maana mnapoelekea ninkumdhuru yeye na pengne huyo mtoto..Achana nae huyu
Kabla ya tamko la kufungiwa LATRA waliwapa internal info kuhusu mienendo yao..Hawa jamaa mbali na kutokutii sheria za mamlaka pia wana treat vibaya wateja wao..Hili la kufungiwa halijatokea bahati mbaya ila LATRA nadhan wameshafanya jitihada zote kuhakikisha jamaa wanarud kwenye mstari..ila cha...
Aisee bonge la changamoto kikubwa tulia na ujioe mida wa kutafakari kwenye hicho kipindi cha likzo yako ili urudi na majibu yatakayo kuweka huru pande zote mbili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.