Vonso_Almeida
Member
- Nov 7, 2016
- 15
- 28
Kindly assist..Nafikiria kufungua duka la kuuza vyakula tu hili duka la Mangi..Msaada kujua mtaji kias gan napashwa kuanza nao..Na Vipi vya kuzingatia kusimamisha biashara?
Upvote
0