Kwa maisha ya sasa kila mtu anatazama pesa ila cha ajabu ni kwamba mapenzi yamekuwa pesa na sio pesa lakini ukweli ni kwamba anayetumia pesa hana mapenzi na wewe ila anatumia nguvu ya pesa na si vinginevyo
Mimi nadhani kwa Bongo hamna Kazi ya kusema ina ajira wala haina maana kama ingekuwa haina kulipa wasingekuwa wanafundisha watu mavyuoni so wewe nenda kasome na sio mpaka usikie inalipa maana ni wewe na Grade yako ndio itakayokulipa Bwandugu kama yeye amepata Class ya chini ndio maana anaona...
Kumekuwa na maneno mengi kwa wasanii mbali mbali kuwa wao wanafanya mziki wa Hip Hop Lakini kiukweli wamekuwa wakikosesha wanamuziki ambao bado hawajatoka kuwapa nafasi na wenyewe kufanya mapinduzi ya muziki wao kwa kupitia beats(midundo) ya wasanii ambao tayari wanamajina kama wakina kala pina...
Mjuba umejaribu toa Fact lakini sidhani kama Takwimu zako ziko sawa maana daaha wanaume kumi per day ndugu yangu hiyo Curve yenyewe si inakuwa ndembe ndembe maana kila mtu anakuja na mchezo wake na style yake na kale kamchezo ni miyeyusho lazima atakuwa anafanya mazoezi baharini uyo mtu kwa...
Asee hii picha ikiwekwa kwa projector naweza kuambia mnyika anameno mangapi ila suala linakuja ivi ht ww ukikutana na JK must utamkenulia ila daah mnyika nampa red card kazidisha asee
Kiongozi hii nimeikubali amna mautindu zaid juu ya i phone ila isiwe yale ya kujail break ctaki hata kuyasikia maana yalinisumbua mpk nikatamani uza simu yangu na pia nahitaji front face camera kwaajili ya i phone 4 wapi naweza pata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.