Recent content by Von zelewisky

  1. V

    JamiiForums Tanzania Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    mbona lipumba anajilaumu kwa kumpa 'kikwete' na anadai hajafanya chochote kwa waislamu,halafu wewe unasema 'waislamu wamekumbukwa' katika awamu hii ya nne? Hueleweki
  2. V

    JamiiForums Tanzania CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    Ninapata mashaka na hiyo div one uliyopata! Kama bado unajitapa kwa 'swagger'..kaz kweli kweli!@shonza
  3. V

    JamiiForums Tanzania CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    swagger ni neno lililotoholewa kutoka kwenye kifupisho 'SWAG'..Kotoka huko amerika kama identity ya kundi la mashoga. Waliandika kwenye nguo,kofia n.k. Kirefu chake ni 'secretely we are gays',swag! Ni hatari kubwa kwa kijana kujisifia aki2mia hlo neno! Tena hasa hasa akiwa kiongozi! Kama si...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Daktari ajinyonga na kufa ndani ya gesti huko morogoro

    Itakua alikua anauchungu na tembo wetu wanavong'olewa meno kila kukicha
  5. V

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    ukisikia punguani basi ndio wewe! Watu wameichoka ccm, we unasema eti chadema wametumwa! Ha ha ha na mtahangaika sana mwaka huu! Gesi kwanza vyama baadae
  6. V

    JamiiForums Tanzania Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    gesi kwanza,vyama baadae..kabaraka baba ako.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mbowe na Slaa juu ya sakata la Mtwara nini tasfiri yake??

    'MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI' NDIO TAMKO LA SLAA NA MBOWE. We unataka nini kingine?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kama rais angekuwa mbinafsi hakika Bagamoyo lami zingekuwa mpaka vichochoroni

    Mada zingine mnatutaftia ban tu..
  9. V

    JamiiForums Tanzania Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Wapi kilango malecela! Umeongea hadi mshipa unakutoka,tena maneno ya kizandiki! Ulidhani mtwara ni same? Ntwara ndo hiyo..uchikae wala uchichimame
  10. V

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

    Mbona mi siwaoni?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mnyika aomba muongozo kujadili matukio ya utekaji

    sumu inamatumizi mbalimbali, ikiwemo kuua panya majumbani.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kikwete ammwagia sifa Lowassa

    mbna hujalishtaki gazeti?
  13. V

    JamiiForums Tanzania CCM ina wabunge wanne tu!

    Baada ya mwakyembe kuukwaa uwaziri,.kina sendeka na anne kilango nao wamekua mawaziri pia ,(by induction)
  14. V

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    Halafu pia inawezekana spika makinda alikua anasumbuliwa na njaa,anawahi chai
  15. V

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Alikataa hakuna cd za uchochez wa kidini! Ila maajabu anasema jf inawagawa watz! Thinking capacity yake inaaproch sifuri! Yaani hana akili. Mbulula
Back
Top Bottom