Recent content by von Neumann

  1. V

    JamiiForums Tanzania OLAMS Website is not secure

    Make no mistake, anyone can change your OLAMS password and access your private data provided one has your phone number + form 4 index number. HESLB should do something about this ASAP
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kuhusu malipo ya kodi ya Acacia

    "Hata hivyo, pamoja na Acacia kuanza kulipa kodi, inaidai Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dola za Marekani 120 milioni (zaidi ya Sh240 bilioni za sasa) ikiwa ni malimbikizo ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Akijibu maswali ya mwandishi wa habari hizi kuhusu utaratibu wa kampuni hiyo kulipa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ethiopia iliyokuwa maskini, inajenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme sisi Tanzania tunalala gizani

    Biashara ka za RICHMOND aliendelea kupiga tuu
  4. V

    JamiiForums Tanzania Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

    Imeandikwa 'acheni wafu wawazike wafu wnzao'
  5. V

    JamiiForums Tanzania List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

    Hili swali huwa najiuliza sana, Naamini mtu aliyrsamehewa kwenye hiyo list ni mheshimiwa namba 9 yaan i mgombea wetu mtukufu. Sasa hao wengine vipi, ina maana na wao wametakaswa pia? Au na wao walihojiwa kama namba 9? Au nao pia wako UKAWA kimya kimya? Ikitokea namba 9 kashinda, je...
  6. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    lo n dhamaani atakua kaimprove.. #m4c
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumpigia kura yeyote, soma hapa kwanza

    Uzi mzuri. UKAWA wote wasome hapa
  8. V

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    CCM will continue to f*** u for the next 10 years.. And Dr. Magufuli will be leading us, ur f***ers.. Sorry. It is the truth
  9. V

    JamiiForums Tanzania Exclusive Interview with UKAWA's Edward Lowassa: I think I can be a President

    mwenzie bona hajachokaa?
  10. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Wewe utakua #shoga
  11. V

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Kujua kuongea kidhungu sio sifa ni utumwa fulan tuu.. Ndo maana kuna matranslator.. Hata ivo siasa za nje sio kiiengereza tu kuna kichina, kirusi, kiarabu, kifaransa ss nan anavijua vyote hivo. Lowassa au ?? Acheni #ulofa
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi, utaweza kumudu gharama za maisha kwa mshahara huu?

    Hata umuweke Lowassa, Slaa au mboewe siku zote huwezikuendelea kwa kutegemea mshahara wako uo wa kima cha chini.. ChekechA akili #mabadilikoNiWewe
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Kikwete: Ukitaka kula na we lazima uliweee.😡😡😕 Makinda: Wanawake tulikuwa hatufiki kileleni JK katufikishaaa....😍 Magufuli: Jamani sintowaangusha kwani MBELE natosha NYUMA natosha. 😂 Mwenye nyingine aongeze, I'm out...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Tuhuma ya kwanza ni kumiliki kadi ya uanachama wa CCM. Nyingine kama zipo nimemsamehe. Over
  15. V

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya kiswahili-kiingereza

    Msaada kwa mdau yeyote mwenye kamusi softcopy either pdf format au link ya page yenye translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kwa ufupi Swahili - English dictionary. Thanks in advance
Back
Top Bottom