PSPF Imeshajifia ndugu zangu pitia report ya mkaguzi mkuu wa serikali za 2014 utaona kuwa hela nyingi zimekopeshwa taasisi za serikali huku kukiwa hakuna riba!!na hakuna hata taasisi moja yenye dalili ya kulipa mikopo hyo!!pia haijafanya investment ya michango ya wanachama inavyotakikana!!
Lowasa anaurajiri gani wa kununua watu wote hao kuanzia akipokuwa ccm hd leo ukawa?!!!yaani nashangaa iv mtu mzima unataka kunilazimisha lowasa ni tajiri kiasi gani?!!!anyway km ndio tajiri ivo bc mi staki raisi maskini....!!nataka the don lowasa!!awe raisi
Wanachama,wafuasi wa cdm na act mnamatatizo sana!badala wafuasi wa ccm ndio wabishane na kulalamika nyie ndio mnabishana na kupingana!!wanahama toka ccm wanaenda vyama pinzani, kuhama kunapunguza nguvu ya ccm na inatakiwa chadema au act wafurahi badala yk mnalumna na kubishana..
Mi nadhani ni uelewa wake tu mtoa mada as long as akili yk kaona ni hivyo bc kila mtu ana uhuru wa kusema awazayo!!lakin kila mwenye akili timamu anajua JK alitaka membe apite!!hyo tunaona tng awali kumpa uwaziri wa mambo ya nje na pamoja na kubadil sana mawaziri hakuwah mbadil nafasi hyo!!lakin...
Wanadai mafile ni mengi ya wastaafu kuliko fedha iliyopo!!hivyo wanavuta mda waajiriwa wapya wachangie na serikeli ikilipa deni ndio wawalipe!!kifupi PSPF imeyumba sana!!
Umekuja na chafya zako hata husomi vizuri!nani hajui maswala ya msingi??yawezekana ni kweli lowasa ni fisadi lakini debe tupu bila unga halina maana ndio maneno ya slaa! Yapo tupu sanaa hayana content hata kidogo nadhani chama kama chadema Lisu ndio genious wao aliyebaki wengine wote pumba...
Sema mimi namuamini slaa!sio watanzania!ushahidi kaka maneno mengi ya nini!!pia utambue viongoz wako hasa slaa kama anaushahid anaruhusiwa kuupeleka mahakaman na hivyo akawa ametusaidia!mahakama tu ndio inahaki ya kusema km wanatuhuma za kujibu au la...!!akibaki anasema haitusaidii!!
Tatizo slaa haaminiki...hata aseme nini ni km analopoka tu ndio maana watu hata hawamuulizi udhibitisho wake ni upi?!usitoe majina tu toa vidhibitisho tupembembue mchele na pumba wenyewe!!tunajua zito hana maneno tupu siku akitaja tu kila mtu atataka vidhibitisho kwakuwa sio mlopokaji tu!!kama...
Mbona ni haki kabisa mkwasa kupokea hela hyo!!tena km kocha mzungu alilipwa interms of dollar!!ni mda wa kuwapa ushirikiano makocha!!wetu sasa sio kuwasema vibayA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.