Recent content by Vome

  1. Vome

    JamiiForums Tanzania SOLD: Gari aina ya Rav 4 inauzwa

    Price ? Ok nimeona
  2. Vome

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba Chanika

    Ndugu yangu analo lipo masantula. Nicheck pm namba ya simu nikuunganishe naye na uhakika hamtashindwana bei
  3. Vome

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Hii ni hela ndogo Sana. Inawezekana kabisa
  4. Vome

    JamiiForums Tanzania Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    Lengo lilikuwa kuwahadaa CCM wasijue kinacho endeleo waka haribu, hizo ni mbinu kwenye siasa.
  5. Vome

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

    Jamani kuna mzigo usione bebeka wilaya ya mwanga kilimanjaro ahad kibao miaka kumi sasa hakuna cha maana alichofanya. Huyu ni Jamani Maghembe sijui huo u Prof aliupataje? Kwa kweli tumemchoka hata kumuona huyu mtu sitaki, maji, barabarani, hospitali na huduma zingine hakuna kimya Ni usanii tu na...
  6. Vome

    JamiiForums Tanzania Ubora wa January Makamba mbele ya Pinda, Mwandosa, Sitta, Nchemba, Sumaye, Bilal kuipasua CCM

    Fadhila ilikuwa inalipwa kwa mzee Makamba
  7. Vome

    JamiiForums Tanzania Saa zinauzwa

    Ulove! Weka namba ya simu
  8. Vome

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Ndio mdanganye watu na ramani zenye makosa kibao, ni vizuri ukaangalia namna nyingine ya kupata hii fee. Angalia usije ukaishia jela!!
  9. Vome

    JamiiForums Tanzania Ramani vyumba 3 self +(study room, public toilet, store,dinning, sebule)

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia 99 hawa jamaa wengi ni wanafunzi hawana uzoefu kabisa
  10. Vome

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

    Bado sana kijana maliza shule kwanza, hauna uwezo wa kutosha mpo after money tu lakini sio kikazi kama inavyo takiwa
  11. Vome

    JamiiForums Tanzania Where can i refine gold in Tanzania?

    Mkuu udsm department of mining and mineral processing engineering. Wanafanya hiyo kazi pia
  12. Vome

    JamiiForums Tanzania Bendera kwenye Meli: Tanzania imevunja sheria ipi ya kimataifa?

    Lazima tukubaliane nao hata kama hakuna sheria ila inakuwa imekiuka makubaliano, soma hapa Berman calls on Tanzanian President to cancel re-flagging of Iranian Vessels; Warns U.S. Assistance in Jeopardy - wavuti
  13. Vome

    JamiiForums Tanzania Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

    Kuna hii taarifa imewekwa Wavuti blog jinsi ya kuchangia. wavuti - wavuti
  14. Vome

    JamiiForums Tanzania 50 cent apata ajali

    Tumuombee apate nafuu http://www.nydailynews.com/new-york/50-cent-hospitalized-car-accident-york-long-island-expressway-article-1.1102437
  15. Vome

    JamiiForums Tanzania ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

    Ni kwenye million 78 sio billion UNIFORM ZA SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL NCHINI ZILIGHARIMU 77,322,000/= | MPEKUZI http://millardayo.com/ufisadi-mwingine-wa-atcl-uliowekwa-hadharani-na-mwakyembe/
Back
Top Bottom