Bendera kwenye Meli: Tanzania imevunja sheria ipi ya kimataifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera kwenye Meli: Tanzania imevunja sheria ipi ya kimataifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jul 1, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili swali kila GREAT THINKER wa Jamii forum analikimbia au analikwepa sasa mimi nauliza

  sasa nauliza tena ni kipengele kipi cha sheria ya kimataifa ambacho serikali ya Tanzania imekivunja? Je Umoja wa Mataifa wanasemaje kuhusu hicho kipengele ambacho serikali ya Tanzania imevunja kwa meli ya Iran kuweka bendera ya Tanzania?

  Je hiyo meli kama iko registered Tanzania kuna ubaya gani?

  leteni majina na vipengele vya sheria ambavyo Tanzania imevunja
   
 2. z

  zanzibar huru Senior Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hutopata majibu kwa sababu hakuna sheria iliyovunjwa

  habari ndio hiyo
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Muulize Obama ndiyo ana jibu la swali lako.
   
 4. z

  zanzibar huru Senior Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sidhani hata kama Jaluo analo jibu

  wana JF wanaolalamika inawezekana wanayo majibu
   
 5. Vome

  Vome Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 6. z

  zanzibar huru Senior Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bas kama ndio hivyo namshauri bwana Membe alale usingizi mnono tuuuu

  hakuna sheria iliyovunjwa ya kimataifa

  hilo ndio jibu

  GREAT THINKERS wamekuwa kama vile NON THINKERS
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kama Iran wanaweza kutulinda tukianza kushambuliwa na US mi naona sawa tu!! Lakini kwa vile viongozi wetu wanakimbia kimbia kwenda US mara UK kuomba misaada, hiyo tabia ya kupeperusha bendera lazima tuiache vinginevyo tukubali kufunga mikanda ya kiuchumi kama walivyo Zimbabwe!
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  nadhani haya maswali yanapaswa kuhojiwa Congress kwa njia ya barua.
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  imevunja sheria ya KUOMBAOMBA... Inayosema
  "TAJIRI ATAMTAWALA MASIKINI" na "KINACHOMUUA MASIKINI NI UMASIKINI WAKE MWENYEWE" from the book of PROVERBS THE BIBLE
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Naamini kuwa Mh. Kikwete atalikubali ombi la Berman kwa vile Marekani nimfadhili wetu mkuu.
  Sasa tumsubiri nCameron na/au Umoja wa Ulaya waje na amri yao rasmi ya kuiwekea vikwazo rasmi Tanzania ikiwa itakataa kuruhusu ndoa za mashoga. Na kwa vile tunatembeza bakuli kwao, tutakubali tu.
   
 11. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sikiliza!! ni namna ya kumkataza jamaa kwenda kwao kila kukicha kupiga picha na akina nanihii! Tukisema Dhaifu mnatutoa nje ya Mjengo ! haya sasa wamesema wenye uwezo, Kama na sisi ni vidume tumfukuze barozi wao!
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  mimi sijui sheria za kimataifa zinasemaje lakini ukweli ni kwamba hatuna kifua cha kutunishiana na USA, ebu chukulia mfano mdogo, uchumi wetu ni mdogo ukilinganisha na ilivyokuwa zimbabwe kabla ya kuwekewa sanction lakini aftet sanctions nyote mnajua hali ilivyokuwa. Kama vitu hapa tz vinapanda na pesa yetu inashuka thamani kila kukicha hapo kumbuka hatuna sanctions, je wakituwekea sanctions itakuwaje?
  yangu macho ngoja tuone
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  ccm wamekuwa wakipata msaada kutoka magharibi kuendelelea kutawala ,sasa wamelikoroga
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Anayeuliza swali hili ndio walewale waliokimbia shule. Nenda kwanza kajifunze maana ya neno SANCTION ndio uje kuuliza maswali haya ya kitoto.
   
 15. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe umedatishwa na neno SANCTION na hujaelewa swali na umesema ni elimu yake ya darasa la saba lakini ata wewe unaweza kua umemaliza chuo lakini mtupuuuuuu......OK,,,,,SANCTION is an economic embargo simply VIKWAZO alieuliza kasema ni sheria ipi TZ imevunja kufly TZ flag kwenye meli za IRAN? ulipaswa ujibu na sio vinginevyo kwa kukusaidia matola ni kua TZ haijavunja sheria yeyote ya kimataifa kwani SANCTION hiyo sio ya UN but ni unilateral sanction ya US/UE and not INITED NATION ambazo we are compelled by laws to follow....Unilateral sanction ata TZ inaweza kuiwekea KENYA lakini haiwezi kuilazimisha UGANDA kuimplement kwani siyo vikwazo vya kimataifa bali ni vya nchi kwa nchi...Sema matola ukiona US amesema basi akili yako ndo inagota na unadhani misaada ya US/UE ndo kila kitu kwetu bila kujua kua imetufikisha apa tulipo uku madini,gas vikienda kwa mrejesho hafifu,....Unilateral sanction ni kama zile mlizoambiwa km hamtakubali ushoga tutawanyima misaada yetu so upo tiyari kwa SANCTION hiyo?
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  hivi omba omba kama Matonya anaweza kubishana na anayemuzewesha!!....
   
 17. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #17
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sheria ipi imevinjwa?
   
 18. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Hakuna endeleeni
   
Loading...