Recent content by Volatility

  1. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin kaishajichanganya kwa kuanza kufikiria kama USA & CO. Na nadhani wamempandikizia hizo fikra bila yeye kuelewa kwamba anacheza mziki wao. Toka walipoanza kumsaidia Eukraine, USA & CO wamekuwa wakijifanya kumzuia EUKRAINE asipige ndani ya Rusia sababu hiyo itakuwa ni escalation, lakini pia...
  2. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Atakaa vikao sana, lakini kuingia kwenye vita ya muda mrefu namna hii kwa kutegemea wingi wa askari, Putin alichemsha sana. 1. Amesababisha vifo vya warusi wengi sana. 2. Amesababisha vifo vya wa ukraine wengi sana. 3. Na sasa more than 100,000 North Koreans wameingizwa kwenye conveyor belt.
  3. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    ma bunker hayatamsaidia, Mabunker ya command posts za vikosi vinavyotaka kukomboa Kursk yamesambaratishwa na storm shadow. Zelensky ni mkweli, "The missiles will speak for themselves"
  4. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nasikia anasambaza Nukes Shelter nyumbani kwake, Namuofia sana anaweza fanya kweli sababu yuko desperate sana.
  5. Volatility

    Marekani na Nchi Nyingine Za Ulaya Zafunga Balozi Zake Kyiv Ukraine kwa Sababu za Kiusalama

    Mkuu, Vita ni inevitable as long as you bring Satan into the picture. But pointing finger to the USA & the West as causes for all the killing going on now more or else across the globe is a faulty thinking.
  6. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hizi vita tayari zimeishakuwa consolidated. 1. Pale Gaza na Lebanon Israel anapigana na Iran, kwa jina la Jewish State Oppression. 2. Vita hiyo inapaganwa Mpaka RED SEA ambako Iran kwa jina la Houth Lebels inapambana na USA & Co. 3. Ukraine na Rusia ni battle grounds tu, lakini washirika ni...
  7. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Umesahau yafuatayo. 1. kwamba hii operation ilitakiwa kumalizika ndani ya Siku tano. 2. Kwamba Urusi inapokea Siraha kutoka North Korea, Iran & Technology kutoka China, Ulaya na America. 3. Kwamba siraha zote alizopewa Ukraine ni kwa masharti zisitumike ndani ya Urusi. Nadhani sasa ndio muda...
  8. Volatility

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sio busara tu ni msikivu pia, sababu kaishaelezwa akijaribu kutumia nukes, watamtandika kwelikweli.
  9. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kama ni Boli zozo, Mwamba anatupambania sana.
  10. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Msimu uliopita tulikuwa na tatizo la "collection of untrainable team", namna hawa makocha wamekusanywa inaweza kuwa imetengenezwa tatizo lingine, sijaelewa niliiteje. lakini kwa kifupi, kuna hatari kukawa na complicated conflict of interests, sababu wameletwa pale watu ambao self ambitions zao...
  11. Volatility

    Puuzeni taarifa ya Nipashe, hakuna uchotaji fedha BoT

    Ume act kama vile BOT ni ka department ka wizara ya fedha.
  12. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa kifupi, imekuwa ngumu sana kukamilisha sales targets zetu. I can imagine namna timu ilikuwa mbovu.
  13. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Financial institutions, government legal departments, lawyers, etc ni key stakeholders kwenye biashara ya usajiri, wengi weekend huwa mapumziko
  14. Volatility

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hivi Sancho ndo anabakia?
Back
Top Bottom