Aheri kuwa masikini mfukoni kuliko kuwa masikini kichwani. Ni muda mfupi tu tushasahau tulipotoka na tumebaki kushabikia ujinga. Mijitu inakashfa za wazi kabisa leo tunawaona wengine kwenye Wizara ile ile.
Je, kuna umakini hapa?
Ni mpumbavu tu mwenye kushabikia yanayotokea leo kwenye Taifa hili.
Hakuna cha kujivunia katika Taifa hili zaidi ya ujinga. Ujinga wetu ndiyo gharama yetu.
unapoona mzawa wa Taifa hili anaishi kama mtumwa na mgeni kwenye nchi yake uelewa hakuna uhuru bali utumwa.
Ajabu ni pale unapoona...
Hakuna jipya ndani na katika CCM. Wenye ndoto za akina Abunuasi ndiyo waliobaki kusubiri mkono udondoke kama yalivyo matumaini ya fisi.
Tupo kwenye Taifa lisilo na mwelekeo wala vipaumbele. Ujinga wetu ndiyo gharama yetu.
Ndugu wenye hofu ya Mungu. Kumwita mwenzako marehemu ni kejeri ya hali ya juu mwanadamu kufanya. Kuzaliwa si lazima ila kufa ni lazima. Kwa mantiki hii sisi sote tunaopumua sasa na wakati huu ni marehemu watarajiwa. Iweje basi nimkejeli binadamu mwenzangu?
Yatupasa kuweka pembeni itikani zetu...
Mimi binafsi namshangaa sana huyu Lizaboni. Mitazamo yake na fikra zake mara zote huwa na utata.
Ni kweli hatuwezi kufikiri sawa na hata kuwa na maono sawa, ila jamaa huyu fikra zake na maono yake mara zote hukinzana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.