Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

Pigo jingine kwa Team Lowassa: Christopher Ole Sendeka akana kuhama CCM

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
33,901
Reaction score
20,416

​

Kulikuwa na uvumi kuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amehama CCM na kujiunga na CHADEMA mara baada ya fisadi Lowasa kuhamia huko. Mtakumbuka kuwa Ole Sendeka ni miongoni mwa wanasiasa waliokuwa wanamuunga Mkono Lowasa akiwa CCM. Hata hivyo, mwenyewe amejitokeza na kukana uvumi huo. Amesema kuwa hakuna mbadala wa CCM na kwamba wale wote waliohamia upinzani, ipo siku watarudi CCM.
 
Last edited by a moderator:
Habari za Sendeka mpelekee Muhongo, wawili hawa wanafahamiana vizuri.
 
Lizaboni wewe una tabia za mama yako hatukulaumu manake kamwe damu huwa haifuati makorongo inafuata mishipa,kutwa ww ni majungu majungu nawewe,na kubadilisha id mara kwa mara,sendeka wala haitaji nguvu tayari tushapeleka nguvu kidogo ni kumdaka kama kuku tu

Umenena Mkuu.

Huyu atakuwa mtoto Asha Bakari!
 
Kesho mtasema JK akanusha uvumi wa kujiunga na ukawa
 
Mkuu, kwani hili nililoandika ni majungu? Kwani u epata muda wa kusikiliza nini Ole Sendeka anasema?

hakuna mtu aliyewahi kusema sendeka kahama chama,sendeka hawezi kuhama chama kwasabu amekuwa akipewa rushwa ndogo ndogo,ukiwa na issue yako bungeni unataka ailipue unampa hela analipuwa,sasa yeye asubiri mwaka huu hatoboi mbele ya chadema
 
Halafu kwa taarifa yako Mleta uzi si wote watahama kwa kurudisha kadi!

Ila ujue miili iko ccm! Mioyo iko ukawa! So huyo kula ni ccm ila kura ni ukawa! 25 October saa mbili asubuh bendera ya ukawa itapepea
 
watu wengine humu sijui hamnazo sasa hilo ni pigo au ujinga tu umekujaa.mtu na akili zako timamu unapost utoto kama huu? kama huna cha kuandika sio lazima kutuletea upuuzi kama huu
 
Hivi wewe kwa akili yako unafikiri lazima wahame wote? Watu ma genius mpango umepangwa ukapangika wengine wanabaki ugambani kimwili lakini kiroho wako kwa lowasa na hao hao watampa kura zao wakiwa ugambani.
Hawawezi kuhama wote na hawatahama wote. Mliongopewa kuwa mafuriko yanakuja. Sasa matokeo kahama Lowasa tu na mkewe
 
Lizaboni unachoshindwa kutambua ni kuwa team ya Lowasa hawezi kuhama yote kutoka ccm wapo watakao baki ili kumpa back up wakiwa ndani ya ccm. Mtifuano ulioko ccm sio mzuri kwenu upepo umekuwa mbaya kipindi hiki
 
Last edited by a moderator:
Mapigo ninayoyajua, pigo la kwanza Tyson amtwanga mwenyekiti wake, 2 lugola ampasua mtu kwenye kujinadi , 3 ndugai nisura aue kwa pigo zito sana! 4 nape akatwa na pccb, 5 mwigulu nae ang'ang'aniwa na takukuru,6 anne kilango aacha gari yake kwa mbio baada ya kufumwa akitoa rushwa! haya ni baadhi tu ya mapigo yanayojulikana!
 
CCM Blog: OLE SENDEKA AKANA KUHAMA CCM

Kulikuwa na uvumi kuwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka amehama CCM na kujiunga na CHADEMA mara baada ya fisadi Lowasa kuhamia huko. Mtakumbuka kuwa Ole Sendeka ni miongoni mwa wanasiasa waliokuwa wanamuunga Mkono Lowasa akiwa CCM. Hata hivyo, mwenyewe amejitokeza na kukana uvumi huo. Amesema kuwa hakuna mbadala wa CCM na kwamba wale wote waliohamia upinzani, ipo siku watarudi CCM.
Mimi nikajua nina argue na jenious kumbe mtu mwenyewe ------by-prof.Muhongo
 
Lizaboni unachoshindwa kutambua ni kuwa team ya Lowasa hawezi kuhama yote kutoka ccm wapo watakao baki ili kumpa back up wakiwa ndani ya ccm. Mtifuano ulioko ccm sio mzuri kwenu upepo umekuwa mbaya kipindi hiki
Mkuu, taarifa hii nimeicostruct kutokana na kauli ya Ole Sendeka mwenyewe. Ni nyie ndio mliovumisha uvumi huo na sasa mnatafuta pa kutokea.
 
Mimi binafsi namshangaa sana huyu Lizaboni. Mitazamo yake na fikra zake mara zote huwa na utata.

Ni kweli hatuwezi kufikiri sawa na hata kuwa na maono sawa, ila jamaa huyu fikra zake na maono yake mara zote hukinzana.
 
Back
Top Bottom