Recent content by Voi

  1. V

    JamiiForums Tanzania Ninakataa kwa nguvu, na mizimu ya Mzee Nyerere inisimamie!

    Tokea baba wa Taifa atuache ??? Tokea baba wa Taifa akiwa hai Tumeshuhudia makongoro nyerere mwanae akiwa mbunge acha upotoshaji wako mnafiki mkubwa wee kazi kutukuza unyerere!!
  2. V

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

    Itafurahisha sana haya majihuni ya simba yakikamatwa
  3. V

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa! Kul-haq’qa lau-kana Mur’ra! Unaficha ficha nini?

    Makoye2009 nasikitika huko nyuma haukua hivo duu! sasahivi pameoza!! ukishindwa hoja niheri ukae kimya
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Posho kila mahali nchi hii lakini chamaana hakuna niporojo tuu!
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wapigwe tu hata mimi nasema
  6. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    gani? Kwani hujui?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Libeneke ndio nini
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tuangalie CV za Wenyevitii wa vyama vikuu vya siasa nchini

    We unaijua mikao ya kigaidi? Ama kweli nchi hii kuna mizuka!!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mengi ndani ya kanzu na bhagharashia

    Huelewi ulichoandika mfano wako wewe nikama kasuku anaigiza sauti bila kujua maana yaiyo sauti kwa maana hiyo wewe ni --------!!
  10. V

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Makamanda poleni sana zito zuberi kabwe anawapeleka puta!!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Muda ukifika kila jambo litaeleweka
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mnyika asisitiza uamuzi wa Kamati Kuu dhidi ya Zitto, awakumbusha viongozi, wanachama

    Tungeanza na misukule kama wewe kuwaponda mawe watoto wavifaranga!!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Juzuu mlango wa sita hakunaga!! Hiyo
  14. V

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1

    Mkuu Pasco omba msamaha yaishe!
  15. V

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pinda nisawa nakusema kona
Back
Top Bottom