Recent content by vngenge

  1. V

    JamiiForums Tanzania Makapi ya mafuta si misingi ya Taifa

    Inategemea njia zilizotumika kuwaandaa. Wamendaliwa waje kufikiri na kutenda kwa namna gani. Kila kitu ni matokeo ya mchakato wa inputs, process, time na mazingira. Kuwalaumu wao naamini kwa kiasi kikubwa sio sahihi sana.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Mtoa mada inawezekana una ajenda binafsi, kwanini umekumbilia abadilishiwe baadala ya kutoa ushauri namna ya kuboresha huduma?. Inawezekana ukawa mmoja ya waliokataliwa kubadilisha taarifa kutoka zile za kweli kwenda za uongo kwa manufaa yako binafsi au mrundi uliekataliwa kupewa kitambulisho...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Hapo pia atatafuta mwingine wa kuiendeleza. Arudishe frem kwa kanisa tu
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Unafeli Chumbani
  5. V

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Viva Russia, Viva Putin. Uraaaaa!!!
  6. V

    JamiiForums Tanzania Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

    Sawa nimekusikia, kesho uteuzi.......
  7. V

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Waulize netflix
  8. V

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    Acha wote, anza upya. Waambie woteumegundua hawana sifa unazotaka
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

    Bila picha uzi haujakamilika
  10. V

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

    Dili dirisha
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Kuna mtu alinipanga tufanye biashara pamoja mimi nitoe mtaji yeye atasimamia. Alinipa business idea very impressive nikazama benki nikampa Milioni 3 akachukue mzigo. Tangu 2012 hadi leo sijamuona. Kuwa makini na ushauri
  12. V

    JamiiForums Tanzania WHO: Chanjo zilizopo zina ufanisi dhidi ya Omicron

    Kama zina ufanisi kwanini waliochanja na wailsiochanja wote wanaumwa?. Weledi unapotea zimebaki siasa na kulinda maslahi ya mfadhili mkuu wa Shirika kwa gharama ya afya zetu
Back
Top Bottom