Recent content by vmjwahuzi

  1. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini wako busy na chanjo ya COVID 19 na sio dawa yake?

    hakujawahi kuwepo dawa ya virusi duniani ndo maana suluhisho la kudumu ni chanjo.kinyume chake ni madawa ya kufubaza kirusi.Dawa ya madagascar kama inatibu huitaji kutumia nguvu at WHO hawajaipitisha.kwan mitishamba wameipitisha mbona tunatumia? nchi iliyokuwa ya kwanza kuchuukua dawa yao bado...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

    mkemia mkuu wa serikali siyo kazi yake kupima kama dawa inatibu au la.Anachofanya kupima kama ina sumu kwa binadamu au la.waganga wa kienyeji mara nyingi hupeleka dawa zao huko kwa ajili hiyo
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    HATA REDIO NAYO HAKUNA MATANGAZO.NIMEZOEA KUSIKILIZA BBC NA MAGAZETI KWISHNEI
  4. V

    JamiiForums Tanzania NSSF tunaomba mmalizie ujenzi wa kiunganishi cha Daraja la Kigamboni

    mkuu nssf juzi anaongelea watajenga km 1tu ina maana anasogeza pale mbele tu.kiukweli haina maana kama hawajengi hadi kibada
  5. V

    JamiiForums Tanzania DSM watu binafsi wanauza magari kwa kasi mno

    yako wapi hayo ya bei nafuu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli hana walinzi wa kike wa Kudeal na Wanawake?

    akiwa gaid wa kike unasubiri wa kike amkabe maajabu ya dunia
  7. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukabiliana na taa zenye mwanga mkali barabarani usiku

    angalia asije akakugonga wewe ukajuta
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dr. Kasoga analeta fujo katika familia ya Nyerere

    kasoga nadhani kwa sasa anafundisha IFM.mambo ya familia yenu kwann uyalete kwa jamii mkuu.umeongea nae akakataa kukuelewa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Hili ni tusi kwangu, 'watu weusi hamuwajali na kuwathamini wazee'

    ndugu jiamini usiwe mwoga kila ukiona ngozi nyeupe.siyo kila mzungu ni mwekezaji.sijaona cha hasa kumsifia kifo kipo hata kama una pesa kiasi gani.yaani wahindi watu wa hovyo bora angekuwa mwingine
  10. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Tumempoteza mwana JamiiForums mwenzetu, bwana Lengeju Bob

    wa moro wakaribie wa dar tumeshiriki vipi? nadhani kuna haja ya kujitafakari na kuona jinsi ya kusonga mbele.sijui ni kwa jinsi gani uongozi umeshiriki au jumuiya imeshirikije kwa tatizo la Melo.tufikirie mara 2 leo mm kesho wewe
  11. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    picha yake pse
  12. V

    JamiiForums Tanzania Msichana anatafutwa amepotea

    NADHANI UNGESEMA KATOWEKA WAPI ALIKUWA ANAISHI NI MTWRA MWANZA AU TABORA ITASAIDIA
  13. V

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Godbless lema akikaa mahabusu kwa siku 90, Utaitishwa uchaguzi mpya?

    WABUNGE WANGAPI WAMEUGUA NA WAMERUDI NA UBUNGE WAO.HATA KAMA AKIKAA MWAKA SHERIA INASEMA KIFUNGO YEYE HAJAFUNGWA BADO YUKO INNOCENT UNTILL THEN
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mama Ndalichako, kichwa cha nyoka hiki hapa piga!!

    mkuu umenena nakupongeza kwa ushauri wako big up mawazo kuntu
Back
Top Bottom