The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,896
- 19,076
Kuna hii tabia watu wanafunga taa zenye mwanga mkali sana kwenye magari yao, usiku wakiwa barabarani huwasha taa hizo zote(full light) hivyo kupelekea kua usumbufu wa watumiaji wengine wa barabara.
Kama uliwahi kupata shida ya taa hizo hasa katika miji mikubwa usiku ambapo watu wasiojua matumizi wa taa hizo huziwaaha zote kwa pamoja.
Kuna jamaa yangu alinipa mbinu ambayo nimeitumia na kweli inafanya kazi. Nunua kioo hiki cha kujiangalia kikubwa chenye urefu wa kuanzia sm 30 au zaidi na upana wa sm 10 au zaidi kadri utakavyoona inakupendeza.
Hicho kioo kiweke kwenye dashboard ya gari yako ukigeuze sehemu ya kujiangalia iwe inaangaliana na kioo cha mbele cha gari yako.
Ikifika usiku unakua unakiweka kwenye dash board hapo mbele yoyote atakaewasha full light mwanga ukija kwako unaakisiwa(reflected) kwake hivyo atashindwa kuona mwisho wa siku ataingia mtaroni au atashika breki gafla maana haoni hivyo kugonga magari yaliyonyuma yake au mbele yake wakati wewe unaendelea na safari yako.
Sharing is caring. Wakimwaga mboga wewe mwaga ugali.