Recent content by Vladmir

  1. V

    Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Uongo ndio nguzo kuu ya CHADEMA
  2. V

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Matthew 7:1-3 Judging Others 7 “Judge not, that you be not judged. 2 For with the judgment you pronounce you will be judged, and with the measure you use it will be measured to you. 3 Why do you see the speck that is in your brother's eye, but do not notice the log that is in your own eye?
  3. V

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Matthew 7:1-3English Standard Version (ESV) Judging Others7 "Judge not, that you be not judged. 2 For with the judgment you pronounce you will be judged, and with the measure you use it will be measured to you. 3 Why do you see the speck that is in your brother's eye, but do not notice the log...
  4. V

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    Matthew 7:1-3 Judging Others7 “Judge not, that you be not judged. 2 For with the judgment you pronounce you will be judged, and with the measure you use it will be measured to you. 3 Why do you see the speck that is in your brother's eye, but do not notice the log that is in your own eye?
  5. V

    Prof. Muhongo anakubalika kwa wanavijiji nchini kote kwa nishati ya Umeme

    Hizi ripoti ulizoleta hapa kama viambatanisho ni za zamani 2012 na sasa juhudi kubwa zimefanyika , please uwe mkweli na si kila kitu kupinga.
  6. V

    Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

    Kwa vipi Mbunge ahusike na kazi za DAWASCO ni UoNGO ULIOPITILIZA, Wapelekee hizi habari vichaa huko vijiweni na sio huku.
  7. V

    Wabunge kubadili sheria bunge la bajeti 2015/016 kujiongezea mafao zaidi

    Tunawasubiri waje na ujinga wao kama walivyozoea
  8. V

    Wizara ya Madini wamewaleta Wachina waje kujenga Nguzo za zege

    Mahitaji ya nguzo ni makubwa sana na hayataathiri shughuli za kila siku , isipokuwa kulinda mazingira ni muhimu zaidi kwa kizazi cha sasa na baadae , tuache siasa sio kila jambo ni siasa .Pia watanzania wakiielewa hii technolojia pia na wao watafanya tu maana ni ajira tosha .
  9. V

    Maskini na Wanyonge kumchukulia fomu ya Urais prof. Muhongo

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mmpatie , ukweli usiopingika Muhongo ana watu si mchezo. Tena sasa yuko juu zaidi .
  10. V

    Majibu ya Zitto kwa JK yaleta utata mwingine

    Tunafahamu kabisa kuwa nyie wabunge mnakula rushwa halafu mnanunulika sana kwa ajili ya manufaa yenu hatuwaamini hata kidogo wananchi . Zito huna jipya mlarushwa na unanunulika na kutumika kwa manufaa yako ukijinasibu kuwa msafi huaminiki hata chembe na wenzio.
  11. V

    Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Tafadhali rudi kwenye mada umetoka nje samahani
  12. V

    Hivi Dr.Slaa hawezi kuwa mmoja wa wazee wa Dar-es-salaam?

    Lugha zako za UDINI peleka huko kwa wajinga wenzio na ukome kabisa , hakuna mtu mpumbavu kama wewe sio lugha za kuongea kutukana dini za watu please na usirudie.
  13. V

    Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Huna lolote zaidi ya ukabila na uchaga wako, ni mchapa kazi na si mwizi kama mnavyomtangaza kwenye vyombo vyenu vya habari. Mbona tunajua sana Mengi na Mkono wametoa mabilioni kuwahonga wabunge ili wawaondoe eti kwa kuwaanawazibuia mirija yao, sasa subiri tutahamasisha nchi nzima kutangaza...
  14. V

    Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    MCC Statement on Board of Directors' Discussion of Tanzania at the December 2014 Meeting Washington, D.C.-The U.S. Government's Millennium Challenge Corporation (MCC) issued the following statement after its Board of Directors (Board) held its annual...
  15. V

    Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

    Ni uongo kama kawaida yenu Ingia kwenye website ya mcc.gov utapata ukweli na sio kupotosha uma hapa ukidhani wote ni wajinga .
Back
Top Bottom