Recent content by Vladivostok

  1. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dully Sykes anasema yeye ndiye Mwanzilishi wa Bongofleva?

    Kiufupi zamani walikuwa wanachana na huyo dully ndo alianzisha kuimba bongo fleva miaka 1998 hv had 2000 apo huyo dully ni wa kitambo we unamchukuliaje.
  2. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

    Hivi jiwe ule mvuto alitoa wapi sijawahi kuona Raisi anayekubalika na wanachi wengi vijijini ambapo 70% ya watz na mijini jamaa alikuwa anakubalika sana.
  3. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kazi kwenu wakuu hamna haja ya 1xbet sportbet kamaliza kazi update app uanze kuenjoy.Game 1 machagua hata 10 ww tu.
  4. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Juzi uchaguzi wa serikali za mitaa michango ya wahisani ilkw paundi laki tisa sasa mbowe hawezi acha heza hizo kizembe.
  5. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    mKuu nataka niwe nawauzia watu gb kwa bei nafuu ko apo huduma ipo mfano gb nauza 1000
  6. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msimu huu tubadilike hizi market za win sijui over hamna kitu na sio kwamba timu zinauza mechi ila nw timu nyingi zina uwezo kipesa zinasajili wachezaji bora tabora kampiga azam,yanga, singida kwa sababu ya top player na ulaya hivo hivo nw pale england kibonde ni soton tu mwingine yyt anakupiga...
  7. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🙌🙌😆😆
  8. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    Umenikumbusha mbali sana mkuu adolf hitler alijaribu kuiteka urusi akiamini urusi ni heartland ukiikotro urusi basi umeitawala dunia nzima lakini ndo ukawa mwisho wake.
  9. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    Unataka warusi wafanyaje kam askari wa assad hawatak kupigana hao waasi wana silaha duni jeshi lina kila kitu then wanaachia tu maeneo hio imewakatisha tamaa urusi na irani. Urusi pia ana vita kwake.
  10. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ukiondoa Wakinga, Wachaga na wenye asili ya nchi za nje, panabaki patupu

    Kwan lazima kuoleana nao mzee mbona unafosi tafuta hela nenda india au uarabuni ujipatie mke siku hizi dunia kijiji.
  11. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

    Sababu ya kuweka 30,000 wabongo wengi hawaendi viwanjani hadi simba na yanga unajenga uwanja mkubwa afu wanaingia watu buku ni hasara.
  12. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bookies hawajawahi chemka juzi barca alipewa odd 3 so utasema walichemka na hizo odd za yanga so we ukiona hivo fata kama unajiamini wao wanatumia hesabu.ww unatumia hisia.
Back
Top Bottom