Recent content by Vivax

  1. Vivax

    Wananchi waridhishwa na huduma za wizara ya ardhi sabasaba

    Ni huko Sabasaba, sisi huku vijijini Kijiji cha malamba Kata ya Ruiwa Wilaya ya mbarali Mkoa wa Mbeya. Tulitapeliwa na Wizara hiyo. Tulipewa hati miliki za kimila za mashamba. Lakini cha ajabu serikali ya kijiji ilitugeuka. Mashamba ni yetu lakini wapangaji wa matumizi ya mashamba ni...
  2. Vivax

    1980s Ualimu walipelekwa Wanafunzi waliofeli, huo utaratibu bado Upo?

    Siku hizi hata kama una PhD, Hiyo ni document yako. Kupata ajira ya ualimu kuna masharti matatu ya nguvu:- 1) umahiri wako 2) nani anayekujua 3) nani Unayemjua
  3. Vivax

    Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

    Tremp anataka madini mzee Marekani hapigani bure hasha! Mkono mtupu walambwaje? Ubakaji upo wa aina nyingi.
  4. Vivax

    Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

    Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
  5. Vivax

    We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    Kwanza kauliza mbaba. kwani wa mama hawa wajibiki? Tunatangaza usawa wa nini sasa?
  6. Vivax

    Bajaji Mbeya hazizingatii usalama barabarani

    Katika jiji la MBEYA Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI. Kuna hivi vigari vya tairi tatu. Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa. Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani...
  7. Vivax

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    I agree with Stephen hawking. Reason:- whatever we know or perceive is the product of creation. The entire universe is a creation. AND GOD IS NOT PART OF THE CREATION. SO THAT GOD DOES NOT EXIST IN THIS UNIVERSE IS LOGICALLY TRUE. IF YOU MAKE A FOOT BALL FOR ANY PURPOSE, THEN AFTER THAT YOU ARE...
  8. Vivax

    Tunakoelekea makanisa mengi na misikiti inaweza kukosa watu kabisa jitihada zisipochukuliwa

    Reasoning ipi unayozungumzia? Pengine mtu alikuwa na uso mzuri tu, Akapata ajali na mdomo ukatokea,au alikuwa na matako safi mazuri tu ajali nyingine ikampa sehemu ya haja kubwa?
  9. Vivax

    Tunakoelekea makanisa mengi na misikiti inaweza kukosa watu kabisa jitihada zisipochukuliwa

    Hongera uliyesoma lakini wembe wa kunyolea mavuzi unatoka China. Kijiti cha kuchokonoa meno from china.
  10. Vivax

    Wazungu wanamuabudu Mungu gani mbona hawana kabisa hofu ya Mungu?

    Ni Mungu yule yule wa Ibrahim, isaka, yakobo (Israel). Angalizo:- Tenda kama ulivyo fundishwa Usiende kama watendavyo. Huyo Mungu ni mpole.
  11. Vivax

    Tetesi: Uchaguzi vyuo vya afya

    Kuna tetesi kuwa majina ya form four wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya afya. Majina hayo niangalie kwenye link ipi? Saidia maskini
Back
Top Bottom