Recent content by vivamaarifa

  1. V

    JamiiForums Tanzania Lissu alaani agizo la Magufuli kwa Wakuu wa Mikoa

    Ni mwendo wa kuongoza nchi kwa mzuka
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Katibu Mkuu wa CHADEMA ana kashfa ya kuongoza migomo ya madaktari Tanzania

    Kwan kigwangala umeambiwa kuongoz mgomo ndo kigezo cha kupewa ukatibu??, vp wakobwa ccm na huyu wa chadema nani ana cv kali? Eti na wwe ni msomi unatoa hizi hoja ,, kwel it will take ages for this country to develo
  3. V

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Ni afadhali wa mifugo kuliko wako anaewinda wanyama wa porini
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Tumbua jibu hilo la shemeji mapemaaaa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Watch "Tanzania hii Sio Shamba la bibi tena -JPM" on YouTube

    Atasema hawezi kuinglia umeya dar wanao lalamika waende mahakamani
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Vipi kuhusu intelijensia ya polisi maana hawakawii kuzuia mkutano
  7. V

    JamiiForums Tanzania TRA yamdai profesa Tibaijuka sh500 milioni za Escrow, apinga

    Hili lilihalalishwa siku nyingi sema kwa Kuw na wa tz ndo hao hao wa kusifia mabua hakuna namna ngoja zipigwe tu
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari zenu nahitaji mwanamke wa kuoa sasa, haijalishi umri wake

    Kka siku hizi hapendwi mtu anapendwa hela
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Umalaya ni nini?

    Labda uperuzi kamusi Mkuu itakusaidia japo maana ya neno halfu wew utaongeza mifano
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

    Mdau umeeleza vizuri sana tena kitaalamu ,, sema watu wana mzuka katka arguments zao kwngu naona ni ushauri mzuri kwa serikali kwani kuongoza nchi ni zaidi ya kutumbua majipu, tunapongeza juhudi za serikali lakini lazma waangalie na upande wa pili
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Elimu bure
  12. V

    JamiiForums Tanzania 84% ya wahitimu kidato cha nne wamepata F kwenye hesabu

    Ninachosema hapa, somo la hesabu halina walimu wa kutosha ukilinganisha na masomo mengine, sasa litakuwaje la kwanza wakat masomo mengne yana walimu wengi, ila sijasema hilo ni tatizo peke yake yapo na mengine
  13. V

    JamiiForums Tanzania 84% ya wahitimu kidato cha nne wamepata F kwenye hesabu

    Hapo hakuna jibu la haraka, kinachotakiwa kwa mawazo yangu ni uwekezaji tu, siyo kwamba hatuna walimu wa sayansi ila watu wenye kufundisha hesabu wanaenda kwenye kada nyingine kwa kuwa ualimu hauwalipi vizuri,, serikar iboreshe masilahi ya walimu ili mtu asione tofauti kubwa ya maslahi na...
  14. V

    JamiiForums Tanzania 84% ya wahitimu kidato cha nne wamepata F kwenye hesabu

    Ndugu yangu hao unaowasema watumbuliwe ni wa ngapi? Shule nyingi za kata mwalimu wa hesabu hazidi mmja , unategemea muujiza hapo kufaulu?, angalia hata somo la geog walimu kibao bdo wanafeli. Swala la kufeli mtoto linahusisha serikali, mzazi, utawala shuleni, mwalimu na mwanafunzi mwenyewe
  15. V

    JamiiForums Tanzania 84% ya wahitimu kidato cha nne wamepata F kwenye hesabu

    Ndugu yangu najua wwe siyo mwalimu ndo maana unadhani wanafeli kwa kuwa hata walimu hawalijui hebu angalia hayohayo matokeo kwnye somo la civics wamefanyaje kisha urudi
Back
Top Bottom