Mkuu ni pesa za wizi,pia ujue kuwa ccm ni ileile tu hayo mengine ya pushap ni mbwembwe tuInakuwaje tena kwa pesa za rushwa kulipiwa kodi?
Halafu Rais anasema mafisadi wakimshinda tusimwite rais . Nadhani aanze kuandaa jina la kumuita.Hivi pesa za escrow zinalipiwa kodi si pesa za serikali zinatakiwa zirudi serikalini au ndio mafisadi wanavyosafishana
Mkuu kutegemea mabadiliko ccm ni ndoto ccm ni Ile Ile mkuu maigizo ya majibu yanaisha jiandaeni kuchekaHalafu anasema mafisadi wakimshinda tusimwite rais . Nadhani aanze kuandaa jina la kumuita.
Corporate Tax 30%Hiyo kodi ina riba nndani nini? maana nilisikia yeye alipenyezewa 1 bilion.
Very well saidTuwe makini tunapotetea mambo kama haya pesa za escrow zinadaiwa kodi kwa sheria gani, sio leo unachekelea ya mwenzako kesho ikaja kwako. Kwa mfano ikatokea umefiwa au umepata windfall ya shillingi millioni ishirini kwa namna nyingine ambayo ujaifanyia kazi kama mwenzangu na mimi useme hapa sasa ndio pata mtaji; Mara TRA hao wanataka 30% yao.
Kwa hivyo lazima tujue ni kwa misingi gani TRA inadai hizi hela, tusilete majungu tu na wivu kwenye vitu ambavyo vinataka kufanywa kwa kuzingatia sheria za nchi na application zake ni universal.
Kama kodi ni issue au kosa la kisheria kutolipa kwa namna ya ugawaji wa escrow ina maana serikari kupata majina ya watu waliopelekewa hela stanbic bank sio tatizo kabisa vinginevyo ata hao stanbic bank watakuwa wanavunja sheria za nchi, if so kwanini wachague akina nani walipe na akina waachwe.
escrow hakuna dili lolote mkataba wa serikari ulikuwa mmbovu tu, na mzozo wala awuhusu serikari hela iliyokuwa inatunzwa ndani ya BOT ni ya wabia waliokuwa wanaidai serikari kwa umeme TANESCO waliokuwa wanavuna kupitia uzalishaji wa IPTL.Hizi ni njama za kuhalalisha dili la TEGETA ESCROW
Sheria zipo, kipato chochote anachopata mtu kinatakiwa kitozwe income taxi, Kama hicho kipato Ni zaidi ya laki tano kodi take huwa Ni 30%. TRA komaeni tupate pesa yetu kutoka kwa hiyo mama Na wengine wote waliogawa pesa za escrow.Tuwe makini tunapotetea mambo kama haya pesa za escrow zinadaiwa kodi kwa sheria gani, sio leo unachekelea ya mwenzako kesho ikaja kwako. Kwa mfano ikatokea umefiwa au umepata windfall ya shillingi millioni ishirini kwa namna nyingine ambayo ujaifanyia kazi kama mwenzangu na mimi useme hapa sasa ndio nimepata mtaji wa kuanza mradi wangu wa kuku; Mara TRA hao wanataka 30% yao.
Kwa hivyo lazima tujue ni kwa misingi gani TRA inadai hizi hela, tusilete majungu tu na wivu kwenye vitu ambavyo vinataka kufanywa kwa kuzingatia sheria za nchi na application zake ni universal.
Kama kodi ni issue au kosa la kisheria kutolipa kwa namna ya ugawaji wa escrow ina maana serikari kupata majina ya watu waliopelekewa hela stanbic bank sio tatizo kabisa vinginevyo ata hao stanbic bank watakuwa wanavunja sheria za nchi, if so kwanini wachague akina nani walipe na akina waachwe.
Hili lilihalalishwa siku nyingi sema kwa Kuw na wa tz ndo hao hao wa kusifia mabua hakuna namna ngoja zipigwe tuHizi ni njama za kuhalalisha dili la TEGETA ESCROW
Tuwe makini tunapotetea mambo kama haya pesa za escrow zinadaiwa kodi kwa sheria gani, sio leo unachekelea ya mwenzako kesho ikaja kwako. Kwa mfano ikatokea umefiwa au umepata windfall ya shillingi millioni ishirini kwa namna nyingine ambayo ujaifanyia kazi kama mwenzangu na mimi useme hapa sasa ndio nimepata mtaji wa kuanza mradi wangu wa kuku; Mara TRA hao wanataka 30% yao.