Recent content by Vittorio

  1. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!

    Aiseee nchi ngumu sana hii ila sishangai hata wafanyakazi wa Tanesco ndo watu pekee utawakuta majumbani kwao kuna majiko ya umeme 😂
  2. V

    JamiiForums Tanzania Askofu Ole Sapit: Mh Rais Ruto hawa Gen Z ni Vijana wetu wasikilizwe, hata mwanangu yuko huko kwenye Maandamano na Vijana wenzake!

    upo sahihi kabisa wapo walosomea nje mfano Joketi nipe utofauti na walosomea hapahapa bongo?
  3. V

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    bahati mbaya hakuna hata mmoja hapo
  4. V

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    acha wakome wakiitwa kwenye katiba wanajiweka pembeni kwamba wao si wanasiasa
  5. V

    JamiiForums Tanzania Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

    cheki vita atakayopigwa uone ngozi nyeusi tulivyo na laana
  6. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    au mabasi manake mabus dereva akikaza muda huo yupo dar,nchi ngumu sana hii aiseeee hata hawaogopi wanakula mpk mbegu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    tatizo lako shule,usifie hilo bwawa na bado hakuna nafuu yotote mpk sasa kwanza ya gharama kushuka na bado kukatika kwa umeme,tatizo la nchi yetu ni ccm note that
  8. V

    JamiiForums Tanzania Makonda apiga Goti kwa Mwadhama Kardinali Pengo

    once mnafiki always lazima uwe hivyo hivyo
  9. V

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    so una uhakika wa kuhudumia familia yako na wazazi wako?hongera ndugu yangu kwenu kuwa njema aiseeeee
  10. V

    JamiiForums Tanzania Rostam abonga na Hichilema kuzalisha umeme nchini Zambia. Pia aangazia usambazaji wa gesi

    naona deal la umeme Zambia limezinguliwa ili mwamba apate nafasi na hpa ni Rostam na Abdul bila shaka
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za siri za Mwalimu Nyerere zilizohifadhiwa Oxford University kutolewa Dec 4, 2036

    naona lengo wote wanaomjua Nyerere na kubisha hiki na kile ni uongo watakuwa wote washakufa😹😹😹😹
Back
Top Bottom