Recent content by Vito Andolini

  1. Vito Andolini

    Mahakama ya Haki za Binadamu: Hukumu ya Babu Seya na Papii Kocha ilikuwa sawa, japo kuna haki zao zilikiukwa

    wewe unapotosha... sijui ni makusudi au kwavile hukuisikiliza ama hujaisikia kabisa maelezo ya hukumu
  2. Vito Andolini

    Kutoka Posta House: Shirika la posta lafanya transformation, lazindua nembo mpya na mtazamo mpya

    muda ukifika unataka kusajili kampuni yako ndio utajua kuna posta... muda ukifika unataka kumlipia kijana wako ada ya ku resit exams utawajua tu... muda wa kuomba mkopo bodi ukifika utaitafuta posta ilipo....
  3. Vito Andolini

    Kwanini uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma haujafanyika Zanzibar?

    Muwe mnajifunza siasa za ndani pia.... JPM hahusiki na watumishi wa SMZ. Wao wana wizara yao kamili na ya utumisi. Hata hivyo kwa zile taasisi za Muungano wapo watumishi wa taasisi hizo waliopo zanzibar ambao hili sakata limewagusa.
  4. Vito Andolini

    Msaada: anayejua gharama za kutuma mzigo nje ya nchi kwa njia ya Posta

    aidha unaweza fanya ifuatavyo... pima uzito wa mzigo wako ukiwa ndani ya kifungashio unachotaka kufungia.. . kisha upime uzito wake... baada ya kujua uzito wa mzigo wako fungua website ya posta... www.posta.co.tz utakuta sehemu ya tarrif... utapata jawabu kulingana na uzito wa mzigo wako na...
  5. Vito Andolini

    Basi la mwendokasi likiwa juu ya mawe

    sasa hapo la ajabu ni lipi?!!
  6. Vito Andolini

    India: Mwanaume abeba mwili wa mkewe Km 12

    Inasikitisha sana,,, huyo jamaa ni jasiri na upendo kwa mke wake.
  7. Vito Andolini

    SUMATRA/UDA iandae route ya Kivukoni-Mji mwema

    Yeah uko sawa mkuu,,, ila kwa daraja lilipo niseme ni ngumu kuanzisha route kutoka/kuanzia kivukoni eidha iwe kivukoni ya kigamboni au hata ya Magogoni,,,, Upande wa Kigamboni daraja lipo mbali sana na kivukoni,, jaribu kutembelea maeneo ya Tungi na kishiwani utaielewa vizuri geographia ya...
  8. Vito Andolini

    SUMATRA/UDA iandae route ya Kivukoni-Mji mwema

    Francis Da Don... nikuulize kitu kidogo ili iwe rahisi kukusaidia.... Hivi unajua Daraja linapoishia/kuanzia upande wa Kigamboni?
  9. Vito Andolini

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Hivi wale watokwa mapovu wa hapa JF wako wapi?? mbona kimya sana leo!??
  10. Vito Andolini

    Tanzania elections not credible, says European Union

    Waende zao,,, kilichowaleta kimekwisha wafungashe,,wasituletee inzi
  11. Vito Andolini

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Wanaohama na wahame,,, Tinga Tinga in da house
  12. Vito Andolini

    VIDEO: Baadhi ya Wajumbe wa ZEC wapinga maamuzi ya Mwenyekiti wao kubatilisha Uchaguzi wa Zanzibar

    Wewe ndio unapotosha umma,, hao ni makamishna wa tume,, kama ulikua hujui tume ya uchaguzi zanzibar ina makamishna kutoka vyama vya CCM na CUF hao ni kutoka cuf.. na huyo Nassor Khamis aliwahi kuwa mgombea mwenza kupitia CUF chaguzi zilizopita,, ila nna wasi wasi kama ulishawahi kushiriki kupiga...
  13. Vito Andolini

    Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    kuna vidonge vinaitwa Magufulixilin,, vitawasaidia kushusha homa yenu Poleni sana
  14. Vito Andolini

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Yes wewe ni wale CCM b... kama kingunge
  15. Vito Andolini

    Tunawakimbiza kila kona, heshima ya nyumbu ni kuliwa tu!

    Tunawala na kuwageuza... kama samakiiiii kichwa tunampa paka....teh teh
Back
Top Bottom