Nilisikitika sana niliposikia kibanda umeteuliwa kwenye kamati yamavazi, walikushusha hadhi sana na ndo ulikuwa mpango kabambe wa kufunga ndoa na serikali hii. Waache kina kusaga na sasa wakamchague hashimu lundenga ajaze nafasi yako. Mtanzania gani anataka kuwa na vazi lataifa by tha way...
Kila mwaka walimu wa tz wanatangaza mgomo husio fanikiwa, hii itakuwa mpaka lini!
Walimu acheni mikwara ya kishamba,fanyeni maamuzi ya msingi . Kama ni noma na iwe noma ka vipi potezeeni.
Labda kabla cjakujibu niulize kidogo! if u whr an employer na watu wa 2 wameapply wenye sifa sawa unazo zitaka na mmoja amesoma chuo ulicho soma na mwingine chuo tofauti,je ungemchuka yupi kati yao? tafakari!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.