Recent content by Visionmark

  1. V

    Ni kwanini hasa hali hii iko kwa mpenzi wangu & utatuzi wake ni nini?!

    Hilo nalo neno mkuu appoh! Umesema "..mafiga matatu.." unaweza nijuza au kudadavua ni yapi hayo ili sasa niwe na uwanja mpana wa kujipima ni wapi ninaangukia?
  2. V

  3. V

  4. V

  5. V

  6. V

  7. V

    Ahsante sana mkuu HorsePower kwa ushauri wako. Khsiana na hilo suala la kwenda kuwaona wanasaikolojia nadhani itakuwa ni vyema zaidi, sasa mkuu kama kuna mwanasaikolojia mzuri unayemfahamu ambaye anaweza kushughulikia hili suala tafadhari nakuomba usisite kunifahamisha & unaweza hata ukani PM pia.
  8. V

    Ni kwanini hasa hali hii iko kwa mpenzi wangu & utatuzi wake ni nini?!

    Heshima kwenu wakuu. Ni takriban miaka 2 sasa nikiwa na mahsiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye nathubutu kusema ni mzuri na mrembo. Pamoja na hilo, imekuwa ikiniwia vigumu sana kumuelewa huyu binti; kwanza kabisa amekuwa ni mtu ambaye hapendi kufanya tendo la ndoa na kama tutataka kufanya...
  9. V

    Mtwara: Mbatia ashushwa jukwaani, ni kutokana na kauli yake juu ya suala la gesi

    Haya ndiyo matokeo madogo ya serikali za nchi nyingi za kiafrika kuongozwa na viongozi ambayo mioyo yao imejaa kutu za ubinafsi. Hv sasa kiongozi/viongozi wetu anataka/wanataka kila kitu kielekezwe ukanda mmoja; bandari, viwanda, gesi, IFM na uwanja wa ndege vyote Bagamoyo! Hii sio sawa, haki na...
  10. V

    Maandalizi Kabambe Kuelekea 2015

    It seems that you're one among of those people who shall be eating their words bcause the guy is unfortunately and unluckly westing his time and mones for sure, I can bet my life on this!
  11. V

    Treni ya Mwakyembe: Je ni Maendeleo Au ni kutafuta umaarufu(cheap popularity)?

    blueray na by default ebu twambieni ninyi mumefanya vitu gani vya kujitafutia umaarufu hata huo tu mnaouita kuwa ni "cheap popularity" ni nini mumekifanya??!!! Acheni utoto na ufinyu wenu wa kifikira!
  12. V

  13. V

    Romney kushinda kesho...

    Tuseme tusemayo lkn Obama ndiye mshindi wa urais wa US mwaka 2012!
  14. V

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Huyo hana lolote hapo sana sana nachokiona mimi ni kuwa huyo bwana ni mzinzi, mwasherati na mkware kama walivyo wakuu wa mikoa wengine pamoja na watendaji wengine wengi tu wa serikali yetu! Hivyo anaposikia jina la huo mto anaona kama anasemwa yeye kwa tabia yake hiyo chafu.
Back
Top Bottom