Recent content by visionbooks

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Israel yaleta Balozi Kamili Tanzania

    Genesis 12:3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa. Be careful,it works that way!
  2. V

    JamiiForums Tanzania Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

    Dah..."hakuna Amani bali ni kisiwa cha uvumilivu" kaongea kwa hisia mno,ccm ndo wataleta vita sababu wana silaha
  3. V

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Nikweli mkuu watanzania sote ni ndugu...haya mambo ya udini si yakupewa nafasi pia hata kuyaongelea sana ni kuyapa nguvu!...chamsingi washauri wa hawa viongozi wetu wawe makini kuwaelekeza watu wao kipi chakusema kulingana na mazingira na nafasi zao..
  4. V

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    hakika... Naona tatizo upande wa pili wimbo wa Ufisadi hauna nguvu sana Na unaelekea kuchuja masikioni mwa wasikilizaji...sasa nguvu kubwa inaelekezwa kwenye udini...utakuta hata naibu waziri anashiriki kusambaza huu upuuzi kwe mitandao kwangu mi naona si sawa KWA MSAADA WA MOLA HILI NALO...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

    Ni kweli aisee!
  6. V

    JamiiForums Tanzania CCM yaonja moto wa mabadiliko uwanja wa Taifa jioni hii

    "haya si mapenzi ni mahaba,mahaba haya yaonekana kwenye kura"
  7. V

    JamiiForums Tanzania Politician best qoutation 2015

    Haya sio Mapenzi ni Mahaba! Mahaba haya yaonekana kwenye kura!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Jamani Lowassa ana "nyota"

    kumbe walimpigia kura....
  9. V

    JamiiForums Tanzania Jamani Lowassa ana "nyota"

    Amen! Amen! Amen!
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Aisee...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

    Duh...hivi na vile viapo wanavyoapaga viongozi wakiwa wanaanza kazi eg:Rais,wabunge, etc huku wameshikilia Biblia/Msahafu na kuinua mikono juu huwa vina nguvu ?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    "In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way." - Franklin D. Roosevelt
  13. V

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    kwani mgeni rasmi alikuwa ni nani...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao. Uwakomeshe kwa hasira, Uwakomeshe watoweke, Wajue ya kuwa Mungu atawala katika Tanzania, Na hata miisho ya dunia.
  15. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejipiga chenga wenyewe jimbo la Sikonge Kwa kumteua Said Nkumba

    Hiyo ndio cost benefit analysis Opportunity cost
Back
Top Bottom