Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

What a lame statement; sawa mkuu, endeleeni kujuana, kwani ccm ina wenyewe au sio;

Pole sana mkuu. Umesikia kutoka kwa wenye chama "wewe sio". Usiache imani yako kwa kauli za watoto wa wakubwa wasio riziki. Ila kumbuka ukishindwa kuwaelewesha watakulazimisha uwaelewe ili wakutumie. Naamini haitafikia kiwango hicho keep it up to stand for what you think and believe.
 
Mimi ni CCM na wala siogopi kusema hivyo ila nina swali kwa Nape. Hivi mtu akikata tiketi ya gari na anapokuwa njiani akaona ile gari ana mashaka nayo akaamua kuingia kwenye gari nyingine analazimika kurudisha ile tiketi ya kwanza? Nadhani halazimiki na kwa sababu hiyo sioni mantiki ya wazo lake.
 
Halazimiki kurudisha, kwa nini afe kwa ajali? Ni mtu ambaye hana maarifa ndiye ataendelea na gari bovu, na tiketi itaendelea kuwa mali yake. Mbona rahisi tu hiyo haihitaji elimu kubwa kujibu hilo.
 
Agenda ya kuvua gamba vipi? Au magamba kwishney nape!

Nape badala ya kutupa feedback ya mafisadi nyangumi wameyachukulia hatua gani ! Anakuja na maneno ya kioo kwenye mioyo ya watz!
Nape amekuja na mkakati wa kizota ameshindwa na sasa ameanzisha mada humu jf na kuwaachia vimailbox vyake vimwage na kueneza pumba kama zake !maswali aliyoulazwa na Mnyika ameshindwa kujibu na amedodge thread aliyoianzisha mwenyewe!
Cdm hatutachoka kamwe!
 
Mimi ni CCM na wala siogopi kusema hivyo ila nina swali kwa Nape. Hivi mtu akikata tiketi ya gari na anapokuwa njiani akaona ile gari ana mashaka nayo akaamua kuingia kwenye gari nyingine analazimika kurudisha ile tiketi ya kwanza? Nadhani halazimiki na kwa sababu hiyo sioni mantiki ya wazo lake.

Tatizo linakuja pale anapopanda basi jingine na kuanza kuwaongopea wenzake watupe zile tiketi zao za awali huku yake ipo kibindoni. Kinachoonekana ni unafiki na uzandiki tu wala msitake kupindisha ukweli kama kweli angekuwa sio mnafiki angewapokea wanachama wapya kuwaambia kuwa wazitunze kadi zao za CCM kwa kuwa ni mali zao azawaizi babu ni mnafiki, muongo na mzandiki fulustopu.
 
Wakuu,
Nazitambua juhudi za wafuasi wa babu na mashabiki wake katika kujaribu kumtetea ionekane ni jambo la kawaida sana kwa Dr. W. Slaa kuwa na kadi ya CCM mpaka leo! Juhudi za kutumia social media na magazeti mengine hasa gazeti la M4C(TanzaniaDaima) kujaribu kumtetea Slaa na wakati huo kunikejeli na kunitukana japo kuwa kwa matusi ambayo lazima nikiri si mapya, yalishawahi kutumiwa dhidi yangu au watu wengine duniani. Hapa nitajibu hoja moja baada ya nyingine( wenye matusi mapya wanakaribishwa wakijisikia kunitukana tena).

1. Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.

2.Ni kweli kuwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya kuwa na kadi ya CCM kwa babu na maendeleo ya wananchi masikini, lakini babu anatafuta kuwa kiongozi wa nchi ANAPASWA KUISHI YALE ANAYOYASEMA NA KUWA MWAMINIFU KWA NAFSI YAKE MWENYEWE. Ni Dr. huyu ambaye huhamasisha wananchi wengine warudishe kadi za CCM anapofanya mikutano ya hadhara wakati yeye kabaki nayo bila kuanza yeye kuongoza kwa kuonyesha njia kwa kuirudisha yake kwanza...USIPOKUWA MWAMINIFU KWA KIDOGO HUWEZI KUWA MWAMINIFU KWA KIKUBWA PIA....si ajabu alishindwa kutii kiapo chako na nadhiri yake kwa Mungu aliyoapa akiwa padri..leo nitashangaa akiwa mwaminifu kwa binadamu mwenzake kama kashindwa kumweshimu Mungu.[/SIZE]

3.Lakini ni siku chache sana zimepita babu aliwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema Kigamboni kuwa ni mapandikizi ya CCM kwa chama chake...nikashangaa sana, babu anawatuhumu wenzake ambao hawana hata kadi za CCM kama yeye kuwa ni mapandikizi ya CCM huku yeye ambaye kwa tafsiri hii ni pandikizi namba moja akijifanya ni msafi sana..nilichofanya ni kumkumbusha kuwa yeye ndio "pandikizi" namba moja kwahiyo aanze kujifukuza yeye.

Endeleeni kumtetea nianike mtiririko wa kulipia kwake kadi yake ya CCM.

attachment.php

Mwenezi unapiga nyoka kichwani!!! Hivi keshabariki ndoa huyo mzeee!!?? au anaogopa kuingilia uhuru wa mahakama??

Navuta picha ktk dunia ya alinacha kuwa, Padri Silaha eti ndie rais wa jamhuri halafu Fest Ledi wetu anaburuzwa mahakamani kujieleza kwanini kasaliti ndoa!!!
 
Very low politics by Nape, poor CCM.

Badala ya kutumia muda wake kueneza sera za chama anatupotezea muda kujadili watu
 
IMG_4278.JPG

Sio kadi tu hata uzi wa magamba makamanda wamehifadhi masandukuni kama kumbukumbu,hapa Lema kakosa skafu tu na suruali nyeusi.
 
nape kweli lazima tuwe na mashaka juu ya elimu yake,kwanza lazima atueleze kapata vp degree wakat form vi alipata zero,haiwezekan m2 huyu badala ya kutoa hoja ya kujenga nchi yy yupo busy na kufatilia mambo ya watu binafs,hivi ww nape hukujifunza chochote katika uchaguz uliopita wa USA? coz naona unaongea utumbo tu,mbona cjaona chochote ulichoongea kuhusu naibu wazir wako wa elimu kudanganya kwamba tanzanzania ni muunganiko wa nchi kat ya zanzibar na zimbabwe,pia tanganyika ilipata uhuru mwaka 1,1961.
 
Wakuu,
Nazitambua juhudi za wafuasi wa babu na mashabiki wake katika kujaribu kumtetea ionekane ni jambo la kawaida sana kwa Dr. W. Slaa kuwa na kadi ya CCM mpaka leo! Juhudi za kutumia social media na magazeti mengine hasa gazeti la M4C(TanzaniaDaima) kujaribu kumtetea Slaa na wakati huo kunikejeli na kunitukana japo kuwa kwa matusi ambayo lazima nikiri si mapya, yalishawahi kutumiwa dhidi yangu au watu wengine duniani. Hapa nitajibu hoja moja baada ya nyingine( wenye matusi mapya wanakaribishwa wakijisikia kunitukana tena).

1. Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.

2.Ni kweli kuwa hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya kuwa na kadi ya CCM kwa babu na maendeleo ya wananchi masikini, lakini babu anatafuta kuwa kiongozi wa nchi ANAPASWA KUISHI YALE ANAYOYASEMA NA KUWA MWAMINIFU KWA NAFSI YAKE MWENYEWE. Ni Dr. huyu ambaye huhamasisha wananchi wengine warudishe kadi za CCM anapofanya mikutano ya hadhara wakati yeye kabaki nayo bila kuanza yeye kuongoza kwa kuonyesha njia kwa kuirudisha yake kwanza...USIPOKUWA MWAMINIFU KWA KIDOGO HUWEZI KUWA MWAMINIFU KWA KIKUBWA PIA....si ajabu alishindwa kutii kiapo chako na nadhiri yake kwa Mungu aliyoapa akiwa padri..leo nitashangaa akiwa mwaminifu kwa binadamu mwenzake kama kashindwa kumweshimu Mungu.

3.Lakini ni siku chache sana zimepita babu aliwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema Kigamboni kuwa ni mapandikizi ya CCM kwa chama chake...nikashangaa sana, babu anawatuhumu wenzake ambao hawana hata kadi za CCM kama yeye kuwa ni mapandikizi ya CCM huku yeye ambaye kwa tafsiri hii ni pandikizi namba moja akijifanya ni msafi sana..nilichofanya ni kumkumbusha kuwa yeye ndio "pandikizi" namba moja kwahiyo aanze kujifukuza yeye.

Endeleeni kumtetea nianike mtiririko wa kulipia kwake kadi yake ya CCM.

attachment.php

NNAPE Rejesha moyo sasa uliyotamka yamekuwa!!!
 
Mnafiki kweli mwanaharamu! Yaani babu na matusi yote yale aliyokuwa akipewa na Nape na Mwigulu amekubali kuwatumikia tena kwa kulambishwa asali through mchumba?
Watu walijivua utu wao kupambana kumtetea Slaa Leo anawatosa na kuangukia kwa vijana wale watukanao?
Huyu katukanisha ukoo na ndio maana hata watoto wamejitokeza ili wasichanganywe na uovu wa baba.
 
Kuna wimbo wa bob marley unaitwa survival..unafaa sana nyakati hizi.
Ow, ow-ow-ow-ow!
Ow, ow-ow-ow-ow!)
Yeah, yeah, yeah!
How can you be sitting there
Telling me that you care -
That you care?
When every time I look around,
The people suffer in the suffering
In everyway, in everywhere.

Say: na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
I tell you what: some people got everything;
Some people got nothing;
Some people got hopes and dreams;
Some people got ways and means.

Na-na-na-na-na (na-na, na-na!):
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Yes, we're the survivors, like Daniel out of the lions' den
(Black survivors) Survivors, survivors!
So I Idren, I sistren,
A-which way will we choose?
We better hurry; oh, hurry; oh, hurry; wo, now!
'Cause we got no time to lose.
Some people got facts and claims;
Some people got pride and shame;
Some people got the plots and schemes;
Some people got no aim it seems!

Na-na-na-na-na, na-na, na!
We're the survivors, yes: the Black survivors!
Tell you what: we're the survivors, yeah! - the Black survivors, yeah!
We're the survivors, like Shadrach, Meshach and Abednego
(Black survivors),
Thrown in the fire, but-a never get burn.
So I Idren, I-sistren,
The preaching and talkin' is done;
We've gotta live up, wo now, wo now! -
'Cause the Father's time has come.
Some people put the best outside;
Some people keep the best inside;
Some people can't stand up strong;
Some people won't wait for long.

(Na-na-na-na-na!) Na-na-na, na-na-na na!
We're the survivors
In this age of technological inhumanity (Black survival),
Scientific atrocity (survivors),
Atomic misphilosophy (Black survival),
Nuclear misenergy (survivors):
It's a world that forces lifelong insecurity (Black survival).

Together now:
(Na-na-na-na-na!) Na na-na na na! (Na na-na na na!)
We're the survivors, yeah!
We're the survivors!
Yes, the Black survivors!
We're the survivors:
A good man is never honoured (survivors)
in his own yountry (Black survival).
Nothing change, nothing strange (survivors).
Nothing change, nothing strange (Black survivors).
We got to survive, y'all! (survivors) - [fadeout
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom