Recent content by Vision Empower

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Singida awaita watumishi wa umma kuandamana kupongeza maamuzi ya Rais Magufuli juu ya kikokotoo

    Kuna mikutano ilikuwa ya kuombea mtu apone baada ya kushambuliwa kwa risasi nyongi ilipigwa marufuku ila maandamano ndio hayana shida ee.. Mungu hadhihakiwi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nipo benki kuna mtumishi anaomba mkopo wa millioni 150+ tsh

    Atakauwa anajilipa kiinua mgongo kiaina...chezea 25% ww Sent using Jamii Forums mobile app
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hivi kuweka chakula kama status WhatsApp ni Ushamba au Ujanja?

    Badili mtazamo....wengine tukiona tunajifunza kuvipika then mambo yanakuwa sawa...yan tunabadilksha kutoka kwenye picha kuja kuja kwenye real misosi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Lazima una kengeza au trakoma wewe..OVA Sent using Jamii Forums mobile app
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia mwaka mpya nikiwa nusu mfu.

    Acha ushetani huo. Hujawahi kujitathmini ukaona una sifa gani nzuri kuliko hizo changamoto ndogo ndogo? Unaonekana unesoma soma...nani walikuwa wanakulipia kama hawakujali? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. V

    JamiiForums Tanzania Uweusi kwenye mdomo wangu (lips) unaninyima furaha

    Lete picha ya hizo lips...halaf ww ni me au ke??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. V

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkilaha ajipiga risasi bahati mbaya na kufa wakati akisafisha bastola yake

    Ww pia unaonekana ukipata silaha utajiua mwenyewe!!!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Airways Green Africa laagiza ndege 100

    Yan ww umemaliza comments zoote....nimecheka sana yan humu jf kuna watu wana maneno.....
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changudoa kanisaidia sana kwa kweli... Kumbe wapo wengine wana roho nzuri

    Hilo nalo neno!!!!!
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changudoa kanisaidia sana kwa kweli... Kumbe wapo wengine wana roho nzuri

    Hii nayo ni sehemu ya maisha ujue....na ni burudani si lazima nondo tu muda wote...tutazeeka kama ww....
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changudoa kanisaidia sana kwa kweli... Kumbe wapo wengine wana roho nzuri

    Mara kaingiza mara katoa halaf tena hukutumia ndom...halaf mara mdomoni hadi na manii...ujue maambukiz pia ni kwa njia ya denda ww.......
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changudoa kanisaidia sana kwa kweli... Kumbe wapo wengine wana roho nzuri

    Hii comment unaweza kucheka hadi ukate roho!!!@
  13. V

    JamiiForums Tanzania Rais: Serikali Inadaiwa Billion 200 na mifuko ya Pensheni

    Kuwashwa washwa ee
  14. V

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA mtaunga mkono tamko la EU ambalo limelenga kuwatetea Mashoga?

    Hiyo hoja ya ushoga achana nayo toa na zile hoja nyingine 14 tuzizungumzie kwa pamoja
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku wife alipokuta condom kwenye suruali!

    Bilioni 502?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom