Recent content by Vishu Mtata

  1. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

    Acha uongo kijana.
  2. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kujenga naye familia❤

    Kila la kheri mkuu.
  3. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa Addicted na Wamama Wakubwa

    Sina neno,Poor Brain njoo uone mdogo wako.
  4. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

    Tafuta hela kiazi wewe. Ukifa utakua huna ujualo ila sasa una utashi na maamuzi ambavyo vinadhibitiwa kwa kiasi kikubwa na kutokua kwako na pesa. Tafuta pesa, Ishi.
  5. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

    Ni wewe tu.
  6. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Issue ya points derava wanailalamikia sana.
  7. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri vs Ajira ya Kuajiriwa: Je, ni kweli ujasiriamali ndio suluhisho la umasikini au ni njia ya kujitesa kisaikolojia kwenye uchumi mgumu?"

    Hao ni wateja wa motivesheno spika, walioajiriwa ni wachache kuliko wasio na ajira na waliojiajiri. Motivesheno spika akitarget waajiriwa hawezi pata uungwaji mkono tofaut na akiget wasionazo.
  8. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Simu za aquos

    Achana na simu za bei rahisi, specification za juu, ukipimanisha na bei lazima upate walakini. Hapo ndo unakutana na brand kama Aquos,Oppo, Infinix nk. Kama alivyokwambia min -me jichange upate samsung yako. Ni simu imara na hazina vipengele, tafuta A series moja ya bei unayoiweza.
  9. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Inahitaji roho mbaya na sio hayo mavitabu yenu yenye mahesabu tele. Minya mishahara ya wafanyakazi, jaza wadada kulingana na sehemu husika eidha makebo, chuchu konzi au weupe. Counter weka mtu smart asiekunywa pombe, wahudumu walipwe kwa coupon.
  10. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Wanaowaonea tu hao wamachinga, kutofata utaratibu ni hulka ya nchi nzima kuanzia ngazi ya juu.
  11. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Huyo lazima ana side hustle nyingine na bila shaka zisizo halali. Kibongobongo kua tajiri kwa njia halali ni kipengele aisee.
  12. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na mashtaka ya kufanya Ngono na mbwa

    Aaaah kaka wapiga nyeto unatufananisha na mlombwa na umbwa kweeeli?? Unatukusea sana kiongozi.
  13. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Serikali ikiruhusu tuwavune mbona wanaisha chap.
  14. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na mashtaka ya kufanya Ngono na mbwa

    Aloo na mbwa
Back
Top Bottom