Recent content by Visao da futuro

  1. Visao da futuro

    Tulitegemea Sheikh wa Mkoa wa Dar awasemee Masheikh walio Korokoroni miaka zaidi ya 5 si kubishana na Mange, JamiiForums

    Pole Sana, umeisoma Katiba ya Bakwata!!!!! Sheikh wa bakwata haondolewi na waumini ispokuwa kwa kifo au ajiuzulu mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!
  2. Visao da futuro

    Maneno ya Sheikh wetu Mussa Alhad kwa huyu Mange hayako sawa

    Umejipa taabu ya kumnasihi kiungwana huyu Hafii kunasihiwa hivi, kuliko yake Ndio hao kina mange mtu mzima hovyo ilmu Imeiweka mgongoni njaa na tumbo lako ndio unaviweka mbele hovyo aibu yako sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. Visao da futuro

    Kubenea: Lowassa ameonesha njia

    Kubenea, sawa lkn hoja zako nyingi zinaukakasi. Kama alikuwa na nia njema na chama chake angeweka akiba ya maneno kama Seif, ngelikaa kimya bila kusema chochote!!!!!!!!!!!!!!!
  4. Visao da futuro

    Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

    Bro, Mshana unataka kutuaminisha kuwa CDM haiwezi songa bila Mbowe!!!!! Makinika kidogo, hii trouble iiliyopo sasa CDM sababu ni Mbowe alifika mwisho wa kufikiri kwa kufikiria 2015/16 tu 17/20 hakujishughulisha nayo!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. Visao da futuro

    Viongozi wa nchi waliopitia malezi ya "kiroho" Uislam na Ukristo

    Nionyeshe mkali yupi nchi haikutafunwa sana!!!!!! Scandals zote kubwa kuliko zimetokea kwa hao wakali na zaidi huwa wana tabia ya kubinya demokrasia ili tusijue mabaya yanayofanywa na serikali wanazoziongoza. Mkwere hajapata wa kumilinganisha nae, anafanya madudu anawaacha huru...
  6. Visao da futuro

    Viongozi wa nchi waliopitia malezi ya "kiroho" Uislam na Ukristo

    Hoja yako ina ukakasi!!!!!!!! Labda wakati mwl anaondoka ulikuwa hujazaliwa aliondoka na vyote hatujawahi kupata shida kama wkt wake. Mkapa ndio shida yote hii anayoitekenya Magu kuanzia umeme, madini na ubadhirifu. Haya tuonyeshe walicho kifanya cha ajabu wenzao hawakukifanya!!!!!!!!!!!!!!
  7. Visao da futuro

    Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Ukimsikiliza lissu alivyosema utajua shaka kadandia gari kwa mbele!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. Visao da futuro

    Shajara ya mhunzi: Tusifukue makaburi ya zamani huku tukisakafia mapya

    Naaam, kwa shujaa kulienda kilio kwa muoga kulienda kicheko. Ila uoga uwe mwisho 31dec wakatabahhu!!!!!!!!!!!!!!!
  9. Visao da futuro

    Zitto: Kusinyaa kwa ukuaji wa Uchumi wetu na Jambo la Kampuni ya Airtel

    Umemwelewa vizuri au!!!!!!!!! Ana maanisha yapo mengi yaliouzwa bure kimagumash kwahiyo tushughulikie yote kwa pamoja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. Visao da futuro

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Ww Wewe hujatoa ushahidi wa kwanini mji wa yuresalem ni wa waisrael halafu unataka upewe ushahidi huoni unavyochekesha!!!!!!!!!!!! Kwa kuku saidia tuu nenda kasome vitabu vya historia pamoja na biblia takatifu uwajue wafilisti na wafoeniki halafu uje hapa tujadiliane!!!!!!!!!!!!
  11. Visao da futuro

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Tupe ushahidi hatutaki dogma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! :!!! :! ::
  12. Visao da futuro

    Kwa nini Kinjekitile Ngwale hatumuenzi kama shujaa wa Kitanzania?

    Ttzo ni kupungua kwa credit ya mwl. Nyerere!!!!!!!!!!!!!!
  13. Visao da futuro

    TAFAKURI: Kwanini Serikali imekataa kugharamia matibabu ya Lissu nje ya nchi?

    Tuwe tunatumia busara sio kushutumu kila kitu, Je mwajua taratibu za kupewa transfer kwenda kutibiwa nje ya nchi na serikali???!!!!!!!!!
  14. Visao da futuro

    Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

    Kama Umenisoma vizuri ktk thread hii mm nilikuwa namjibu alieuliza kabila kutaka kujua ni kabila gani!!!!!! Cjui kosa Langu nn hapo???!!!!!!!!!!!!!!????
Back
Top Bottom