Recent content by vis kipo

  1. V

    JamiiForums Tanzania Clip ya Lameck ni ya kutengeneza, ila wacha yawakute wajue umuhimu wa kuungana na wapinzani kudai Katiba mpya

    Kifua lazima kitanuke kwa sababu mapafu yanajaza hewa
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Dhamiri ya ndani kabisa, inanisukuma niamini kwamba, hata hao waendesha mashitaka, baadhi Yao kama siyo wote, hawakubaliani na kesi ya Lissu, "inawezekana wanampenyezea baadhi ya mbinu. To work under corrupt Government is a heavy burden Yaani hii ni sawasawa na Ile watahini wa MITIHANI...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Dhamiri ya ndani kabisa, inanisukuma niamini kwamba, hata hao waendesha mashitaka, baadhi Yao kama siyo wote, hawakubaliani na kesi ya Lissu, "inawezekana wanampenyezea baadhi ya mbinu. To work under corrupt Government is a heavy burden
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Sawa kabisa... Lakini je, Serikali ilithibitisha KUTISHIKA?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Daaah!! Moja ya andiko linaloumiza sana.... Watu wamechooookaaa.....
  6. V

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, alishawahi kufanya kazi Suma JKT

    Iringa Kuna sehemu wanahitaji mpishi wa Shule, 150,000 kwa mwezi
  7. V

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

    Kinachosikitisha, na pengine ndicho kilichomsukuma mtoa posti, ni kwamba.... Wanaropoka hivyo ndani ya social media, wakiwa ndani ya Kombati rasmi ya jeshi.... Huo SI ni uchochezi? Kuna tofauti Gani kati ya Hawa, na yule aliyesema watakinukisha?.... Labda ndiyo ukweli wa misemo ya kiswahili ya...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

    Ni sahihi, Tena mara nyingi TU. Eneo maarufu ambalo hii mbinu hutumika ni katika sekta ya ajira rasmi iwe ya kudumu au ya muda mfupi. Wakuu wa vitengo, mameneja au kwa kifupi mabosi, hutumika kupata taarifa za watu walio chini Yao, bila hata wao kujua. Chukulia kwa mfano inakuja taarifa ofisini...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    Kuna mtu ameposti humu kuwa Wanzanzibari wamefurahi sana uteuzi wa Ndejembi
  10. V

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Elimu yake Sasa.... Ilibidi iwe hivi... 1988 - 1994 Drs I - VII (PEE) 1995 - 1998. Kdt I - Kdt IV (CSEE) 1999 - 2001 Kdt V - Kdt VI (ACSEE) Kwa mtiririko huo wa usomaji, tayari tushawashwa huko. Ma-VP wengi huko nyuma ni madoctor... Ngoja tusubiri maoni ya Mange akisema ni mpango wa Abdul...🤪🤪🤪
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

    Nimesema... Baada ya hili sakata watajuta kumfahamu TAL Binafsi nilikuwaga najua kwamba Mh. Tundu ni mwanasheria, ila sikuwahi kujua ni wa KIWANGO HIKI. Wakati akiwauliza maswali ya dodoso wale mashahidi wa Jamhuri sikuwa napata mantiki ya baadhi ya maswali yake, zaidi TU ya kuuona ufundi wake...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

    Ukichukua historia yake ya mapambano ya kisiasa aliyoisema katika utetezi wake hapa, jumlisha misimamo yake hata Sasa akiwa mfungwa, bila kusahau mihoja aliyokuwa akiijenga akiwa bungeni, na ukasoma ni nini hasa kilichomo Moyoni mwake na akilini mwake kuhusu nchi ya Tanzania.... Ni wazi Kuna...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    Recently yes.... Lakini before was yes also
  14. V

    JamiiForums Tanzania Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    Kiranga nakuona unavyo vibrate kama popcorn kwa kukatiziwa uhondo....😆😆😆
  15. V

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    "Ama ajiamulie.... au Waamue".... In Britannica's note...
Back
Top Bottom