Recent content by virginity

  1. virginity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

    Kwamba aliwahi kufanya kinyume na maumbile.... Kuna watu wanajieleza kweli?
  2. virginity

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

    YESU NI MUNGU,HATA WEWE PIA NI MUNGU MDOGO. AU ULIWAHI KUONA WAPI MTOTO WA NYOKA AKAWA NGE? PAMBANENI NA DINI YENU MAANA INAMAPUNGUFU MENGI TU PIA.
  3. virginity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

    Enheeee
  4. virginity

    JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    Sijawahi kupewa wosia sina kumbukumbu zaidi nilikua napewa maonyo mf. Ukibeba mimba utaenda kwenu
  5. virginity

    JamiiForums Tanzania Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

    Huyo rafkiako kanikumbusha mbali Sana kwa kitendo chake cha uthubutu[emoji3] Mm namjua mtu kabisaaa alifanya Jambo jema kama Hilo kwajili yamtu tena kimyakimya tu. Nilimshangaa sana
  6. virginity

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Wakuu huo uzi ulioandikwa na patrickk naupataje? Mtu anipe link tafadhali
  7. virginity

    JamiiForums Tanzania Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Aisee ni mke wako, ni mwanamke mwenzangu lkn kanitia hasira. Usimtafte kausha kama sio wewe, unapoishi hama na akijirudi alafu alafu aanze tena habari za majirani mwambie achague ww au majirani akimaliza kuchagua mpe atakacho. Kua kax kuanzia leo yaani kifupi badilika ww. Pole Mwaya ila...
  8. virginity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kosea yote, ila usikosee kuzaa watoto wote kwa mwanamke moja

    Swala ni kwamba Kwenye ishu ya malezi mnatuachia Sana wanawake, ndani ya nyumba sauti ya baba hakuna. Mko bize na michepuko
  9. virginity

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Una uhakika alikuanao hao tu? Alafu mbona kuna matajiri wengi tu wanawatt lukuki?
  10. virginity

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Nimeshindwa kuisoma, kumbe mie bado mshamba wa kutumia sim na sikujijua[emoji3] nabonyeza lkn inanipeleka jf hukohuko. Nielekezeni ili niisome pia
  11. virginity

    JamiiForums Tanzania Yajue Maisha yalivyo jela

    Huu Uzi umeniuzunisha sana
  12. virginity

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

    Wachomee bangi wakiwa humo bandani kwao.
  13. virginity

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

    Nimepiga namba ya Airtel kanijibu Hana na yupo Zanzibar, hiyo no ya tigo haipo kabisaa
  14. virginity

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah[emoji3]
Back
Top Bottom