Wakati nina 20 yrs na nikiwa sijawahi ku-do. Nilikwenda mkoa na wazazi for a wedding party. duh! nilikutana na demu mmoja nikawa very attracted lakini sikuwa na nguvu za kujaribu hata kumsogelea, kumbe naye alipenda akatafuta jinsi akajongea meza niliyokuwepo. tuka story sana, tukawa very close...
Surely, I am not the one cause I am a married man and now around 37yrs. I cant cheat and please be aware that most of those who will pm watakuwa ni waongo. But how about just be friends?
I am a married men but not very happy with my ndoa. Nahitaji marafiki wa kike ambao wako tayari kunisaidia kupunguza hizi stress. If serious and mean very serious pm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.