Kwa nini SIPATI WANGU WA MAISHA HAPA JF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini SIPATI WANGU WA MAISHA HAPA JF.

Discussion in 'Love Connect' started by Young Philosopher, May 21, 2012.

 1. Y

  Young Philosopher Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nahitaji mwenzi wa maisha mwenye sifa hizi. 1. Awe mwaminifu 2. Mkweli na mpole 3. Elimu Diploma ama Bachelor degree. 4. Kabila yoyote, msukuma, msambaa, mnyakyusa, muha ama mmakonde watapewa kipaumbele. 5. umbo mrefu wastani 165cm-175cm. awe miguu minene mwili wa wastani. 6. awe aidha hajazaa ama ana mtoto mmoja. 7. Dini awe mkristo na mcha Mungu 8. Umri miaka 23-27. SIFA ZANGU 1. Umri miaka 33. 2.Elimu Bachelor degree 3.Dini mkristo 4.Mrefu 180cm umbo wastani maji ya kunde. Tafakari kwa kina.
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duu nilidhan we ni bint!!!!!!!!

  Basi muone Madam B muende chumbani muelewane kiutuuzimaaaaaas.......
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo unategemea kila unapokuwa upate wakwako wa maisha? Una hatari wewe!
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kajaribu Facebook kaka
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Endelea kumtafuta waweza mpata
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Sijaona mahali ulipotaja jinsia yako au unatafuta yeyote tu? maana hata wanawake nao hupenda wanaume wenye miguu minene au mirefu
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we Pasco_jr_ngumi hujui kama Madame B mke wa nani? Wewe kijana mtatake radhi shemeji yako,yaani jamvi zima umemuona mke wangu tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Daaaah, humu ndani mnaoana kiusomi kiusomi........ Yameisha kaka!!! Basi aje huku Uru Kishumundu, nimpe shangazi yangu Dada Neema Y. Masawe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona unamgawa kama pipi kijiti,unamfahamu huyo vizur lakn au?
   
 10. Y

  Young Philosopher Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kulikoni kugombana wakati nahitaji tafakari ya kina ndipo uijibu hii thread. mke mwema atafanya maamuzi kwa kuzingatia falsafa yake ya maisha aliyojiwekea.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  masharti yote hayo unadhani utapata?

  Hupati wa maisha hapa hata wa ahera hawapo?
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Huyo mkristo gani ambaye keshazaa mtoto nje ya ndoa jamani!!!! Au unatafuta mjane, kuwa muwazi
   
 13. a

  amazon Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loh! Una vigezo vingi sana...Punguza kwanza hivo vigezo..
   
 14. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ulioanza nao tangu unabalehe hadi leo wako wapi?? Tujibu hilo kwanza.
   
 15. v

  vira Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa, any way i am on my way napita
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,717
  Likes Received: 12,774
  Trophy Points: 280
  Kwanini hupati huko unakofanyia kazi?
   
 17. S

  Sami12 Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi hapa but sina miguu minene na nina 31
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  kwani mimi na wewe tulipelekana chumbani
  :dance:
   
 19. k

  kazini Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie naona na kigezo kimoja msukuma sijui nikupate vp
   
 20. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  duuuuuh kuwa na subira baada ya miaka kumi utampata
   
Loading...