Bado naikumbuka siku ile ....

vira

Member
May 28, 2012
8
0
Wakati nina 20 yrs na nikiwa sijawahi ku-do. Nilikwenda mkoa na wazazi for a wedding party. duh! nilikutana na demu mmoja nikawa very attracted lakini sikuwa na nguvu za kujaribu hata kumsogelea, kumbe naye alipenda akatafuta jinsi akajongea meza niliyokuwepo. tuka story sana, tukawa very close that very day, tukakubaliana tutafutane, akanipa address maana enzi hizo simu ni za mezani na kwao hawakuwa na simu. Niliporudi dar sikuona nilipoweka address na mpaka leo sijui hata yuko wapi. Siwezi kumsahau kwa kweli labda ningekuwa very happy.
 
Dah nini hasa kilikuvutia?? Sauti yake? macho yake? umbo lake au mwonekano wake? Hivi vyote ni vigezo vya matamanio na katu si love kwani humjui hakujui bali mnafahamiana
 
Toa majina yake kamili unaweza mpata humu ndani.....jaribu bahati yako usikate tamaa kijana
 
oya usiwe mshamba wote ni mali yetu KILA KIDUMEanatakiwa aowe mwanamke zaidi ya mmoja sasa wewe eandelea na wengine halafu akitokea nae wako!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom