Recent content by Vionex Solutions

  1. V

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Research Proposal, Thesis, Data Analysis na Assignments kwa Bei Nafuu – Vionex Solutions

    Kiongozi ninahitaji huduma ya data analysis ya MBA
  2. V

    JamiiForums Tanzania Petroleum geosciences

    UDSM wanatoa degree ya Petroleum and Gas Engineering....
  3. V

    JamiiForums Tanzania kubadilisha course DIT

    dogo make a wise choice....piga mining
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa UDSM

    Wakuu tufanyeni kuwapotezea "wanachuo" hao...kusoma udsm ndo mnajiona mmefiiiiika...tutakutana mtaani tu
  5. V

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya multmedia

    nenda Dar es Salaam Institute of Technology, wanatoa Diploma in Film and Multimedia
  6. V

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa evening class kwa it - diploma course kwa bei nafuu

    wanapatika kwenye ghorofa ilipo NMB Ngarenaro Branch
  7. V

    JamiiForums Tanzania hahaha.....tiGO na Facebook bila internet kwenye simu!!

    ila wame2mia akii....big up kimtindo!!
  8. V

    JamiiForums Tanzania hahaha.....tiGO na Facebook bila internet kwenye simu!!

    habari zenu, huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu ingia kwenye akaunti yako wanakuambia "system busy"....naona bora waisitishe tu!
  9. V

    JamiiForums Tanzania VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

    Hivi FidQ na yy ni Kinega?
  10. V

    JamiiForums Tanzania EATV inaboa. . . !

    usiogope, HIPHOP 4EVA!
  11. V

    JamiiForums Tanzania EATV inaboa. . . !

    thnx men, lakin ndo kwnza narud xul, c u nxt tym zile anga ze2!
  12. V

    JamiiForums Tanzania EATV inaboa. . . !

    habari zenu wanaJF, Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni...
  13. V

    JamiiForums Tanzania JF Freestyle battle special thread

    I thank the Almight God, For you Little Good Guy for being Good all ofthe time, Dogo u a stil underground, while ukicheki wenzio 2na get pound, bora urudi class ukaji'reset, upesiupesi, the way nnavochana kijana nakupa stress, dume zima eti unavaa underskirt??una'claim eti Pat ninaimba!, dogo...
  14. V

    JamiiForums Tanzania JF Freestyle battle special thread

    till now cjaona mnachochana, labda I will be back baada ya mida kupita pita, bado hamna sifa ya kubattle na Pat Da MC mkali, ninaechana bila ya ku2mia M.I.C, Mwalabuhi endelea kuwakimbiza huku ukiwatafuna, especially these two guyz GG na Saint Ivuga, cuz me huku mambo flaniflani...
Back
Top Bottom