Recent content by VINCENT NTUNDA

  1. VINCENT NTUNDA

    Rungwe: Wanafunzi wanaenda shule saa kumi na mbili asubuhi wanatoka saa tatu kasoro usiku

    Duuuh aisee,lakini lengo la walimu ni zuri tuu ,sidhani Kama wana lengo baya ni vile wazazi tumeshindwa kuwaelewa walimu wetu
  2. VINCENT NTUNDA

    THROWBACK IN MEMORIES: Wimbo gani ukisikiliza unakukumbusha tukio fulani

    Wazazi wanguuu walinihusia jinsi yaaa kuishi na walimwenguuu, Na piaa, kuwa na heshimu, kwa mkubwa na mdogo, hayo ndio mafanikio ya maisha yangu ya baadaeee *2
  3. VINCENT NTUNDA

    Mau Fundi umetisha Mzee Baba

    Huyo sasa, enjoy
  4. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    KWA WALE WANAOHITAJI KUPATA LOAN BOARD REPAYMENT STATMENT WATUME REQUEST KWENYE EMAIL HII repayment@heslb.go.tz WAANDIKE MAJINA MATATU na CHEQ Number na FORM 4 index number Kwenye subject andika REQUEST FOR LOAN BOARD REPAYMENT STATMENT
  5. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    Hahahahahahahaa ama kwa hakika, lakini mkuu kulipa sio shida but iwe systematic sasa
  6. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    MREJOSHO KWA WALE WANAOHITAJI KUPATA LOAN BOARD REPAYMENT STATMENT WATUME REQUEST KWENYE EMAIL HII repayment@heslb.go.tz WAANDIKE MAJINA MATATU na CHEQ Number na FORM 4 index number Kwenye subject andika REQUEST FOR LOAN BOARD REPAYMENT STATMENT
  7. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    Sawa sawa Kabisa huu ndio mkakati wangu maana bank wako systematic sana
  8. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    Nadhani ndio tuna walipia sisi sasa. Ebu fanyeni muajiriwe jamani ili mtupe afueni wenzenu naona kama ndio wanafidia
  9. VINCENT NTUNDA

    Deni langu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu linanipatia shida sana, nataka kuliuza NMB

    Habarini wakuu Bodo ya mikopo ya elimu ya juu hadi jana nadaiwa milion 14 Sijawahi kopa NMB wala taasisi yoyote ya kifedha Swali langu liko hivi jeee? Naweza kuwauzia NMB deni hilo maana toka mwaka 2015 hakuna dalili za kupungua kwa deni hili au labda kuna mtu amewahi kufanya kama ninavyo...
  10. VINCENT NTUNDA

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Sito weza wasahau BIMA LEE hasa kile KIBAO cha BILIONEA WA MAPENZI KWA WALE WAHENGA WENZANGU TUU MNA KUMBUKA HIKI KIBAO???? nikwelewejeee, Nikwite nani weweeeee, Nikwite bwana mapenzi hilo jina halikufai , Nikwite bwana mapenzi hilo jina halikugaiiiiii, Naona bora Nikwite Bilionea wa...
Back
Top Bottom