Recent content by villin

  1. V

    Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

    kweli kabisa, anapanic bure tu. Hawezi ondoka kwa mchepuko bila kujisafi.
  2. V

    Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

    usimsikilize huyu, anakudanganya. Inawezekana mumeo alikuwa kwake anakuambia uondoke ili atie timu. Vumilia, samehe hiyo ndio ndoa shoga yangu.
  3. V

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ahahahahaaa kasome na wewe uwe mhandisi.
  4. V

    Nimeokota cheni ya kijini na kichawi

    mrudishie uliyemuibia. Halafu uache ukibaka.
  5. V

    Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    Uwiii..mbavu zangu jamani..CCM down .
  6. V

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    They are so stupid these Kenyans, they forget that we see them how they look like when they come for the first time in Tanzania looking for jobs, they look so tired and poor. I wonder when you say the living standards in Kenya are better . I really dont understand.
  7. V

    Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    Pumbavu mwenyewe kwani mwalimu ndo anaweza kuvumilia kila kitu, shenzi type!
Back
Top Bottom