Recent content by Vilakazi

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Je..Yesu unayemuamini alifundisha wafuasi wake wafanye ibada za kuwasha MOTO kwa kuwa amesema yeye ni NURU ya ulimwengu?na Je..maandiko matakatifu katika Biblia yanasemaje kuhusu wale wafanyao ibada ziambatanazo na kuwasha MOTO? Usichanganye mambo Mkuu...Mtakatifu Francisco wa Assissi...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Hahaha eti "pombe sanitizer"...wee jamaa una mzaha
  3. V

    JamiiForums Tanzania Azam TV kuna tatizo gani?

    Tatizo linalofanana kidogo na hilo uwa linanitokea kwangu kipindi mawingu mazito ya mvua yanapotanda angani....signal zinapotea au sometimes picha na sauti vinakata ghafla au picha na sauti vina-stuck stuck au mawasiliano yanakatika na kunakuwa hakuna meseji yoyote kwenye screen... niliwapigia...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Miaka hiyo tunasoma kuna jamaa mmoja niliishi naye hostel chumba kimoja wakati tupo chuo...yeye ilikuwa usiku anaamka usingizini anaenda toilet na kurudi kitandani kulala bila ya kujitambua...na asuhuhi mkiamka ukimwambia kuhusu tukio la yeye kutoka chumbani kwenda toilet usiku hakumbuki...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulipataje?

    Mwaka gani mkuu?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ogopa hizi shuhuda

    Hahahaa dah nomaa sana
  7. V

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

    😂😂😂 with love from......
  8. V

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Maelezo yake kwamba TZ tulifunga mpaka wetu na Rwanda kipindi cha genocide ikapelekea wao wapitie Burundi border kuna walakini....sababu watz ninaowajua waliokuwepo Rwanda kipindi hicho cha machafuko walirudi Tz kupitia Rusumo border.....kwa ufupi hii story yake ina "coverings" nyingi kwasababu...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    "Mshua wangu" alikuwa anafanya kazi Kigali kipindi hicho cha machafuko ya Rwanda na hadi vita rasmi vinaanza bado yeye na watz wenzake walikuwa hapo mjini Kigali....labda nikuhakikishie ofisi za ubalozi wetu zilikuwepo hapo Kigali kitambo kabla ya hiyo mwaka 1994 na hazikuanza hiyo mwaka 2000...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Corona si tishio kwa Afrika

    Swali lako limejibiwa kwenye video hapo chini Mkuu. In this special report, we ask some questions that you might not thought of: Why are Italy and Iran, both thousands of miles away from China, the two most affected countries outside mainland China?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Wee jamaa nimechekaa kinomaa....eti "ambao hawaungi mkono juhudi"
  12. V

    JamiiForums Tanzania Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

    Mkuu fikra zako kama upo akilini mwangu....ijapokuwa wachache wataelewa na kuamini unachokiandika
Back
Top Bottom