Salamu wakuu ,
Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print
Pc nyingine inaniambia Kama hapo Chini kwenye picha
Naomba msaada mwenye kuweza haya matatizo, pia...