Kwa zile mashine nilivyoziona UKAWA inabidi wakae macho vinginevyo ni rahisi sana jamaa kujifungia ukumbini na kuongezea majina na kuprint kadi. Ni kukusanya tu watoto na kuwachukua finger print na halafu kupiga picha za watu wazima na kuprint vitambulisho hata kumi kwa kila mtu ambaye wanataka...
hivi ninyi huwa mko hapa jf kuleta uzushi au kujulisha umma na kuchangia mada kwa weledi? Maneno ya kukanusha hiyo habari yalisemwa na jeshi la polisi la kenya kwamba hayo maneno ni uongo. Alisema wao hawajakamata gari bali walihoji hilo gari liloingia hapo kenya na kukuta likiwa ni gari la...
kwani mlikatazwa kwenda kalenga yetu macho tutawaona mzee, karibuni kwenye ulingo hamkatazwi na cdm nyie songeni mbele na hata adc walianza kama niny bendera karibu nchi nzima na kutukana cdm lakini leo mmmmh
Hata enzi za Nuhu kuna watu walidhihaki neno la Mungu na yakatokea ya kutokea kwa hiyo binadamu walio na masilahi sehemu fulani huwa ni wagumu kuamini bali wewe umetimiliza neno lake aliye Mkuu kuliko hata vyama
La muhimu kwa CDM ni kupiga kampeini hilo la MAGAMBA kushindwa kuzindua ni kitu ingine, wanatafuta mkakati wa kuja nao ikiwa ni pamoja na kununua kadi za wapiga kura, kuweni waangalifu na mjaribu kupita chini kwa chini kuzuia hii hali lasivyo ..................
Mithali 12:18-19 na 22 Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; Bali ulimi wa mwenye haki ni afya. Mdomo wa kweli utathibitishwa milele; Bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu. Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana.
Ndugu yangu hata mimi nashindwa kuelewa kama mcha mungu hatakiwi kudai haki yake, lakini kwenye utawala huu na vibaraka wake mcha mungu akidai haki ni dhambi
Ni kweli mkuu hawa jamaa wanatakiwa kutuwezesha (to create awareness) kama wanaona hatuelewi, but huwezi kumhukumu mtu kuwa wewe ni mjinga wakati hujamuelimisha na kujua ujinga wake, ulipo. Watuambie faida za muungano wa tatu kinagaubaga kwa kuwa wao ndiyo wanaongoza nchi. Mimi najua kuna watu...
Hivi wewe huwa ni mzimu au robot maake mawazo yako siku zote huwa hayana akili ndani yake, Sijui ni mtoto, mtu mzima au mzee?????
Kwenye utoto upo, Utu uzima upo, Ukongwe upo, jichunguze na uje na jibu la mienendo yako kwenye jamaii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.