Recent content by vieira77

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mo ndiye hataki kuweka Tsh. bilioni 20 au Serikali ndiyo hairusu mtu mmoja kuwekeza kwenye hivi vilabu?

    Nimekuwa nikifuhatilia kwa muda sana linapofikia swala mtu kutaka kuwekeza kwenye hivi vilabu vya Yanga na Simba panapofikia Mwisho kabisa mchakato kukamilika panatokea mkwamo tena kwa wale wale waliokuwa wanataka mabadiliko mbaya zaidi kufikia hata kutoleana maneno makali ya kutishiana, mfano...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Hii ndoa hainipi amani

    Kwanza Napenda kukupa pole sana kwa unayopitia, kuna tatizo kubwa sana linao msumbua mke wako. > wasiwasi wangu atakuwa na jini mahaba,so linamfanya akuchukie sana, ushauri unatakiwa mpeleke haraka kwenye Maombi hiyo hali itakwisha na atakuwa anakukumbatia mpaka unaona ulikuwa umechelewa wapi na...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini tendo la kufanya mapenzi ni la naturally huwa kuna nini bila kufundishwa?, siyo kwa Binadamu wala wanyama

    Kwa hiyo nikitu ambacho hunakikuta na kukiendeleza?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini tendo la kufanya mapenzi ni la naturally huwa kuna nini bila kufundishwa?, siyo kwa Binadamu wala wanyama

    Kama ni Bikra umejuaje kwamba ukifanywa ndiyo inatoka?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini tendo la kufanya mapenzi ni la naturally huwa kuna nini bila kufundishwa?, siyo kwa Binadamu wala wanyama

    Ndiyo lazima ufundishwe bila hivo Watu wangekuwa wanajisaidia popote
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Ahsante sana kwa majibu yako mazuri , Ila bado sijapata jibu nililouliza kwa upande wetu Tanganyika na Africa kama ulivyosema tulipewa bahada ya vita ya pili ya Dunia 1918 ila tulisubiri ili tuweze kujitambua kwahiyo wazee wetu walikuwa hawajitambui kabla ya uhuru?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Tulipewa bahada ya huko nyuma kupambana sana siyo hivi hivi tu.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Ukisema hivyo utakuwa unakosea kwani Zanzibar si ilifanya Mapinduzi?
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanganyika tulipata uhuru bila kumwaga Damu?

    Nimekuwa nikijiuliza sana bila kupata jibu kwani historia inaonyesha tulipata uhuru kupitia kwa U.K. Bila kumwaga Damu, kwani wakina Kinjekitile walikuwa wanapigania nini? Na wakati wanapigana walikuwa hawamwagi Damu? Naomba mnisaidie wana jamvi naamini kuna wengi wanafahamu sana historia ya...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Tanesco makumbusho hii line yenu tumewakosea nini?

    Napenda kutoa malalamiko yangu kama Mteja wenu na ninafanya bihashara hapa Makumbusho stand kwa kweli Meneja wa Tanesco kanda hii tunaomba ushughulikie hili tatizo umeme unakatika masaa hata 24 tunapiga simu wanatupa tu code hawaji kutengeneza kila mara linatokea hili tatizo naomba sana...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

    Mimi nakushauri fanya research kabla yakufanya hiyo bihashara ya mitumba mwanzo mgumu ila ukitulia utafanikiwa nimefanya hii bihashara kwamuda sasa , kama utapenda ushauri zaidi unaweza kupitia hapa Makumbusho stand kwenye maduka ya mitumba
  12. V

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya wanaume waishi muda mfupi kuliko wanawake..

    Hili nalo
  13. V

    JamiiForums Tanzania Tukate mzizi wa fitna: Uzi upi mkali?

    Young Africa wewe!!!
Back
Top Bottom