Recent content by victus f

  1. V

    JamiiForums Tanzania Majaji wa kuwatumbua ni hawa hapa

    Tunaimanii na JPM
  2. V

    JamiiForums Tanzania Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

    Arostoo..! Yaani hapo anaitaji dozi,harafu hapati sasa.. Hapo lazima mwenyewe aongee ukweli
  3. V

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Huyo nabii no 3. Namjua. Huyu jamaa anajiita nabii na kashaliza wengi sana,anajitangazia mpka ukimwi anatibu. Huyu jamaa anaozesha ndoa mbili mbili kwa waumini wake waliokimbia makanisa mengine kama roman catholic.Tatizo wanaojiita wakristo hawajui kuisoma bible wenyewe,wanataka kusomewa.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kwa uchafu huu wa Mbowe anapata wapi uhalali wa kuendelea kuwa kiongozi na kwenyekiti wa CHADEMA?

    Napata wasi wasi na uadililifu wa kiongozi wangu Freeman mbowe,ndiyo maana JPM anatudhalau sasa,coz kashajua madudu ya Mshika kamba. Shame on You Freeman mbowe.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Siri ya uhakiki wa watumishi hewa yabainika, serikali yashindwa kubaini wenye vyeti feki

    Kuna shirika moja,nilisikia wanafanyiwa uhakiki na NIDA. Na report za mkaguzi mkuu (kama sijakosea) zinaonesha hakuna kichaka cha wajanja wajanja kama NIDA
  6. V

    JamiiForums Tanzania Ombi: Ajira TANESCO zipitie Public Sec. Recruitmnent, wengi wameingia kwa kubebwa

    Tanesco wakitangaza ajira,ukienda unaambiwa nafasi zimeshajaa wakati ata 48 hrs haijaisha tokea watangaze.. ! Sadly Ni kujuana mwanzo mwisho..ushaidi uko wazi kwa wenye macho
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kumbe anayemwendekeza Chid Benz ni huyu..!! Kalapina amtaja!!

    Kalapina anajua ukweli wote. Yuko kwenye harakati za kupiga marufuku miadalati kwa mda mrefu. Sikuzote upendo una sura 2, Wengine tujifunze
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari

    24,456 km
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari

    Haijarudishwa nyuma..! Ni mileage yake
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari

    Tsh 9.5 ml Maongezi yapo kwa serious buyer.. Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari

    Nissan xtrail Gari nimeenda nayo dodoma ila ntarudi nayo dar tar 6 january 2017. Mileage 34,324km Nipigie simu 0655 335 511 Price 9.5 ml
Back
Top Bottom