Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

Huyo nabii no 3. Namjua.
Huyu jamaa anajiita nabii na kashaliza wengi sana,anajitangazia mpka ukimwi anatibu. Huyu jamaa anaozesha ndoa mbili mbili kwa waumini wake waliokimbia makanisa mengine kama roman catholic.Tatizo wanaojiita wakristo hawajui kuisoma bible wenyewe,wanataka kusomewa.
 
Labda hujanielewa mkuu, sio tatizo Mungu pekee nani anajua yupi ni nabii wa kweli...... pia unaposema mtu flani ni nabii wa uongo basi ni vyema ukatuonesha na mkweli ni yupi nyakati hizi maana hakuna kushoto pasipo kulia.
Maandiko, yaani Biblia ndio inathibitisha nabii wa kweli na wa uongo! Si kazi ya binadamu kukuonyesha nabii wa uongo na wa ukweli, bali kazi hiyo inafanywa na maandiko! Mimi nikisema nabii fulani ni wa uongo nafanya hivyo kulingana na ninavyofuatilia mafundisho yake halafu nikayapima kulingana na maandiko!
 
Hapo ndo utajua kwa yesu kunafuraha,ila ukiwa mchungaji,nabii au mtume.ila ukiwa muhumini utalia sana na pesa yako yote atakula nabii.manabii wanahubiri washalewa
 
Hao inatakiwa TRA wawaibukie wakusanye kodi. Ile ni biashara ya uganga new model, kuwaibia watu wanaoangamia kwa kukosa maarifa
 
Imani yako itakuponya.. Kama nikienda kwa nabii wa uongo nikapona shida yangu sio mbaya
 
Kuna nabii yupo pale Arusha Kisongo kajipachika jina kuwa ni nabii mkuu [sijajua kigezo alichotumia mpaka kujipachika jina kuwa yy ni nabii mkuu] huyu waumini wake wana makundi katika utoaji wa sadaka, kuna diamond, silver nk na kila kundi hapo lina kiwango chake cha sadaka, ana Radio inaitwa N.Y.U matangazo ya radio hiyo 90% ni kumsifu huyo mungu mtu.
Ana magari ya kifahari, matrekta na mashamba ambayo kayapata kutoka kwenye sadaka za waumini, ninachoshangaa na ambacho sipati jibu hivi haya makanisa hayana utaratibu wa kujua matoleo yao ni kiasi gani kila week na kamati za kuratibu matumizi ?
 
Religion is the new forms of mental illness

Think big....
Take control of your destiny......
 
Amani na iwe kwenu.

Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani anaonekana kuwa ndiye mfadhili wa makanisa mengi kwa sasa wakati huo akitumia kila hila kuwazuia watu wasipate maarifa ya Biblia, ambayo yana maonyo juu ya udanganyifu wake.

Kwa sasa Limeibuka wimbi kubwa sana la mitume na Manabii, ndani na nje ya nchi yetu. Sipingi uwepo wa manabii na mitume, maana hizi ni karama za roho mtakatifu. Efeso: 4:11:14; "naye alitoa wengine kuwa mitume na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wanjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu"

Maana kazi ya karama ni kulijenga kanisa la bwana. Efeso 2:19-20 " Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, mmjengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni" .

Shabaha ya ujumbe huu si kumuhukumu yeyote wala kumchafua mtumishi yeyote wa Mungu au kuhuchafua ukristo bali ni kuwafichua hawa wanaojiita manabii na mitume uchwara wa sasa wanaotumia miamvuli ya dini kutapeli watu, kudhulumu watu, kutenganisha ndoa za watu, kubaka na kunajisi watoto. Wanatumia njia za mkato kuutafuta utajiri na umaharufu kwa kufungua makanisa kama maduka ya biashara, na kutumia kila njia kuvuta waumini ili kuwalaghai na kuwaibia. Hawana tofauti na wezi, majambazi, wauaji, wapiga ramli. Kutwa wanashinda kwa waganga wa kienyeji hata kutoa watoto wao, ndugu zao au waumini wao kafara " Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa kristo. Wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru" (2 Wakoritho 11: 13 - 15).

Hawa mitume na manabii wamejaa ndani ya makanisa wanatumia Jina la Yesu huku wametumwa na shetani kuwadanganya wateule ili wapotee na kujitenga mbali na Mungu. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisha yaliyo maagizo ya wanadamu...waacheni, hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbukia shimoni wote wawili" (Mathayo 15:8-14.)

Hatuwezi kuendelea kuona watu wakitapeliwa, wakidhumiwa, watoto wakibakwa, wakifarakanisha ndoa za watu. Hatuwezi kusubiri Mh Magufuli aje alikemee hili, japo Nchi yetu haina dini ila watu wake wana dini na watu ni sisi sasa iweje tuendeleea kuona ushenzi unafanyika, utapeli wawazi alafu tuendelee kunyamaza kimya?

Nimeshudia matukio mengi ya hawa watu wanaojiita mitume na manabii. Mama mmoja mjane kauza nyumba yake baada ya nabii mmoja kumwambia Mungu amempa maono ili apone kabisa maradhi yake aliyonayo anatakiwa amtolee Mungu sadaka kwa kila mwaka wake mmoja atoe elfu 50. Bibi ana miaka 58, sasa zidisha kwa kila mwaka mmoja atoe 50 Mara miaka 58 utapata bei gani. Je utapeli kama huu tuendelee kuuvumilia tu? Na sasa wametajirika kwa biashara ya mafuta, chumvi, vitambaa, maji ya upako. n.k wananunua watu kutoa shuhuda za uongo kuvuta watu. Mabinti wetu wanabakwa na wao, wanachukua hovyo wake za watu, wengine wanageuza waumini kuwa misukule hata akisema nini waumini wanafuta tu kama hamnazo vile.

Nitawataja hawa manabii na mitume wa uongo. Yesu alisema kwa matendo yao tutawajua. " Jihadharini na Manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa- mwitu wakali . Mtawatambua kwa matendo yao." (Mathayo 7 :15-16 )

1: BG: Malisa wa kanisa la Ukombozi ministries for all nations.
2: Nabii na Mtume Peter Nyaga wa kanisa la Miracle center,
3: Nabii Frank Kilawah, wa kanisa la Shiloh Ministries.
4: Nabii George David Kasambale.(Geordivie) wa kanisa la Geordivie Ministries au Ngurumo ya Upako.
5: Nabii na Mtume Boniface Mwamposa (Buldozer ) wa kanisa la Inuka uangaze.
6: Nabii Frora Peter wa kanisa la Yesu kristo, huduma ya maombezi na uponyaji. Mbezi.

Hawa ni wachache nitaendelea kuwafunua kwa kadri Mungu atakavyonipa mafunuo juu ya watumishi hawa. Sitaogopa kuwataja kwa majina yao. Katika kila kizazi Mungu ametuma watumishi wake kukemea dhambi duniani na kanisani pia.
Wewe jamaa utakuwa mnafiki mbona umetaja dagaa tu mungu wa hao manabii na mitume wa uongo ujamtaja fisiemu aka chama cha magamba huyu ndiye baba mungu wa hao manabii wa uongo
 
Nikweli kabisa..................... lakinia kwenye nyakati hizi, hakuna MANABI WALA MITUME MTU kujipa huu utukufu ni muongo kama baba was uongo SHETANI
 
Lakini jamani tukiangalia hili swala kwa jicho la 3, haya yote tunayataka sisi wenyewe, hivi mtu unakanisa lako kinachokuangaisha ni nini kama sio kuyatafuta majanga wewe mwenywe? leo upo kwa rwakatare, kesho kwa mwingira, mwezi unafuata kwa kakobe, baada ya miezi 3 sijui kwa nabii nani, yani kila anaibuka na kusema yeye nabii sijui anaponya ukimwi, sijui anasafisha nyote, mara kukupa safari za ulaya, sijui kukuondolea madeni, unafata tu, unaacha kumtumikia Mungu wako na kumuomba akuponye na kukuongeza pale pale ulipo eti unafata binadamu wenzio ndo wakakuombee, wakati imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe. Tutafute kumjua Mungu na kubadilisha matendo yetu na hayo mema yote tutapewa na kuzidishiwa na sio kufata wanadamu
 
Amani na iwe kwenu.

Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani anaonekana kuwa ndiye mfadhili wa makanisa mengi kwa sasa wakati huo akitumia kila hila kuwazuia watu wasipate maarifa ya Biblia, ambayo yana maonyo juu ya udanganyifu wake.

Kwa sasa Limeibuka wimbi kubwa sana la mitume na Manabii, ndani na nje ya nchi yetu. Sipingi uwepo wa manabii na mitume, maana hizi ni karama za roho mtakatifu. Efeso: 4:11:14; "naye alitoa wengine kuwa mitume na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wanjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu"

Maana kazi ya karama ni kulijenga kanisa la bwana. Efeso 2:19-20 " Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, mmjengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni" .

Shabaha ya ujumbe huu si kumuhukumu yeyote wala kumchafua mtumishi yeyote wa Mungu au kuhuchafua ukristo bali ni kuwafichua hawa wanaojiita manabii na mitume uchwara wa sasa wanaotumia miamvuli ya dini kutapeli watu, kudhulumu watu, kutenganisha ndoa za watu, kubaka na kunajisi watoto. Wanatumia njia za mkato kuutafuta utajiri na umaharufu kwa kufungua makanisa kama maduka ya biashara, na kutumia kila njia kuvuta waumini ili kuwalaghai na kuwaibia. Hawana tofauti na wezi, majambazi, wauaji, wapiga ramli. Kutwa wanashinda kwa waganga wa kienyeji hata kutoa watoto wao, ndugu zao au waumini wao kafara " Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa kristo. Wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru" (2 Wakoritho 11: 13 - 15).

Hawa mitume na manabii wamejaa ndani ya makanisa wanatumia Jina la Yesu huku wametumwa na shetani kuwadanganya wateule ili wapotee na kujitenga mbali na Mungu. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisha yaliyo maagizo ya wanadamu...waacheni, hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbukia shimoni wote wawili" (Mathayo 15:8-14.)

Hatuwezi kuendelea kuona watu wakitapeliwa, wakidhumiwa, watoto wakibakwa, wakifarakanisha ndoa za watu. Hatuwezi kusubiri Mh Magufuli aje alikemee hili, japo Nchi yetu haina dini ila watu wake wana dini na watu ni sisi sasa iweje tuendeleea kuona ushenzi unafanyika, utapeli wawazi alafu tuendelee kunyamaza kimya?

Nimeshudia matukio mengi ya hawa watu wanaojiita mitume na manabii. Mama mmoja mjane kauza nyumba yake baada ya nabii mmoja kumwambia Mungu amempa maono ili apone kabisa maradhi yake aliyonayo anatakiwa amtolee Mungu sadaka kwa kila mwaka wake mmoja atoe elfu 50. Bibi ana miaka 58, sasa zidisha kwa kila mwaka mmoja atoe 50 Mara miaka 58 utapata bei gani. Je utapeli kama huu tuendelee kuuvumilia tu? Na sasa wametajirika kwa biashara ya mafuta, chumvi, vitambaa, maji ya upako. n.k wananunua watu kutoa shuhuda za uongo kuvuta watu. Mabinti wetu wanabakwa na wao, wanachukua hovyo wake za watu, wengine wanageuza waumini kuwa misukule hata akisema nini waumini wanafuta tu kama hamnazo vile.

Nitawataja hawa manabii na mitume wa uongo. Yesu alisema kwa matendo yao tutawajua. " Jihadharini na Manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa- mwitu wakali . Mtawatambua kwa matendo yao." (Mathayo 7 :15-16 )

1: BG: Malisa wa kanisa la Ukombozi ministries for all nations.
2: Nabii na Mtume Peter Nyaga wa kanisa la Miracle center,
3: Nabii Frank Kilawah, wa kanisa la Shiloh Ministries.
4: Nabii George David Kasambale.(Geordivie) wa kanisa la Geordivie Ministries au Ngurumo ya Upako.
5: Nabii na Mtume Boniface Mwamposa (Buldozer ) wa kanisa la Inuka uangaze.
6: Nabii Frora Peter wa kanisa la Yesu kristo, huduma ya maombezi na uponyaji. Mbezi.

Hawa ni wachache nitaendelea kuwafunua kwa kadri Mungu atakavyonipa mafunuo juu ya watumishi hawa. Sitaogopa kuwataja kwa majina yao. Katika kila kizazi Mungu ametuma watumishi wake kukemea dhambi duniani na kanisani pia.

How can u describe a person u don't know?
Mayweather, Trump inauguration Ceremony.
 
Back
Top Bottom