Wewe kweli huna akili, unataka kumaanisha gharama Russia anayotumia kwenye hii vita ni kubwa kuliko anachopigania hapo Ukraine. Kwa hiyo aachane na hiyo vita? Unaelewa kwa nini Russia anapigana hii vita? Unaelewa kwa nini West wanatumia nguvu kubwa kumsaidia Ukraine?
Mods mnaedit sana nyuzi za watu bila sababu za msingi. Leo asubuhi huu uzi ulikuwa unatoa lawama kwenu ila mshaedit na kukiondoa kile kipande. Melo kaajiri watu walookosa weledi kabisa wa kazi. Huyu bwana inaonekana anahitaji msaada toka muda ila mkabadilisha uzi wake.
Hii vita Putin anapigana kijanja sana,anairefusha makusudi ili Marekani na nchi za Ulaya wayumbe kiuchumi. Kwani mrusi kaishiwa drones hadi atumie za Iran,kwa nini kachukua tani za silaha kutoka N korea. Ndiyo maana anataka hizo silaha wanazompa Ukrani azitumie hizo hizo kuwachapa nazo. Putin ni...
Kuna watu wanatumika kama agent wa shetani kuwatisha watu kuhusu ndoa,acheni watu waoe. Tatizo siku hizi ndoa zinazungumzwa vijiweni kama Simba na Yanga which is not right. Kuna proper ways za kudeal na changamoto za ndoa ambazo wazee wetu walizitumia na maisha yakasonga.
Mimi kama mwanaume siwezi kwenda kuishi na mtoto wangu wa kiume kwake labda kukaa siku mbili Tatum na kusepa. Akina mama ndiyo wanaweza kukaa tena wengine hadi wanafurugana na wakwe zao. Aisee mimi kama chaliangu hawezi nipa msaada pale pale kwangu aniache nipambane na Hali yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.