Habari wana JF nimekuwa naendesha biashara ya Bar muda Mrefu na nimekuwa mnywaji wa bia sana sasa kila nikilewa napata matatizo ninapofika Nyumbani na kila ninapotafakari matatizo ninayoyapata yote yanatokana na pombe. Sasa ninataka kufanya maamuzi wa kuacha pombe ili ninusuru mifarakano kwenye...
Watwangie Mkuu pia jiulize huko miezi ya nyuma zimeenda wapi? Au ndio wametupiga? Ila nimewapigia wameniambia Ngoja hiyo ya mwezi wa sita iingie kwanza ndio niwapigie kwa kuuliza miezi ya nyuma
Kumekuwa na uelewa mdogo kuhusu faida za m-pesa kwa kila mtumiaji wa Huduma ya m-pesa Vodacom. Mwezi wa sita katikati nimebahatika kujua kumbe vodacom wanatoa faida kila mwisho wa mwezi kwa mteja yoyote anayetumia m-pesa na wanasema kujua faida yako tuma neno KIASI kwenda 15300 na utapokea...
Rais ni Dr Shein tu hako ka sisimizi sijui hata kimetokea wapi na Kilikuwa wapi yaani haka ka mzee kamelambishwa 2Billion basi ameona wa Zanzibar ni mafala sasa ndio kaamua kuja kuwachungulia wajinga na vibendera vyao!!!!????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.