Cheque ya 1bn?...alafu maelezo yaliyopo mbona aliacha kazi 1 month ago..wewe unasema alienda nyumbani kupumzika?..isije ikawa mnatumika kucirculate wrong info kwa manufaa ya wengine wanaohusika
Mi nilishawahi ambiwa sijaupload cheti cha ngazi flani na huku nimeupload..nikawapigia simu na kuwaandikia email nikaitwa kwenda kufanya usaili..hivyo kufuatilia muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.