Recent content by Victor Mlaki

  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na ukimya wa viongozi wa kijamii: Je, Tanzania inaingizwa kwenye mtego wa machafuko ya kisasa? Kina Pasco Mayalla wako wapi?

    Nimepitia vizuri andiko lako na nilichokiona ni matumizi makubwa ya Sanaa ya ushawishi "rhetorics" juu ya mtazamo wako. Ni kama unataka na wengine wavutiwe kuona unachotaka waone hivi.
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kutakuwa na kilio na kusaga meno Kama Donald Trump atasaini Muswada wa Ted Cruz

    Mkuu upo upande gani?
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hakuna alie tekwa pale, ni pure drama, yaani ni utekaji bandia

    Tatizo ni kukubali kukuelewa tu
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tabora yalenga kukusanya Shilingi Bilioni 4 za kodi ya Ardhi

    Kuna mahali tunakwama sana
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuangalia mchakato wa Maombi ya hati ya kiwanja kupitia mifumo ya ardhi

    Kuna mfumo wa E- ardhi jisajili humo kisha fuata maelekezo
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hii law ni very useful nimeitumia na imefanya kazi 100%

    Inahitaji uwe na discipline sana kuishi.. infact unajipiga ganzi kwenye physical world
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya mapafu kwa nguruwe (swine pneumonia)

    Elimu nzuri
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Aisee...Daaah...haya
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha shambulio zito dhidi ya Iran dakika za mwisho! Vita kusitishwa kwa Wiki mbili. Nini kinaendelea na nani Mshindi?

    Statement ipo very clear ila machumvichumvi ya wadau sasa ndiyo balaa..kama ukihadithiwa hii habari bila kusoma kilichoandikwa na Rais D. Trump unaweza ukalishwa hisia na mitazamo ya watu tu na siyo ukweli wenyewe
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu, kwenye msafara wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja

    Hapo tunakwenda kuivaa hasara nyingine, hayo magari hususani range rovers yanapokaa bila kutumiwa au kuwekewa mafuta ya kutosha mara kwa mara yataharibika tu. Tuna haja ya kuangalia zaidi ya kubana matumizi ya mafuta
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wako anakugundisha neno la Mungu kwa kutumia mkabala ipi wa Kithiolojia kati ya "Systematic theology" na "Biblical theology"?

    Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo. Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
Back
Top Bottom